Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Namuogopa mwanamke mwenye makalio makubwa, anaetoa 0713 huyo simtaki
 
Habari imfikie msomali mwenye dramaz zake.
Huyo bidada sitakaa nimsahau alivyomuongo hadi shetani aweza kusomea kozi. [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]manake nicheke kwanza
 
Mwanaume ambaye hanipi attention japo kidogo, yupo busy busy, hakutafuti hadi umpigie mwenyewe, usipomtafuta ndiyo imeisha hiyo, hadi nakua najiuliza am i his babe au jirani yake? Yaani kama mimi ndiye mwenye shida naye sana aah. Inaboa
 
Tuko pamoja mguu, we dont have time for bitches [emoji23][emoji23][emoji48][emoji419]
 
Mwanaume ambaye hanipi attention japo kidogo, yupo busy busy, hakutafuti hadi umpigie mwenyewe, usipomtafuta ndiyo imeisha hiyo, hadi nakua najiuliza am i his babe au jirani yake? Yaani kama mimi ndiye mwenye shida naye sana aah. Inaboa
Utakuwa huna vibe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…