Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

Malaya na mshirikina.
 
Haya ndo maamuzi ya kiume sasa
 
Namwogopa mwanaume ambaye nampa nafasi anikule afu yeye ananisubirisha....nahisigi Kuna walakini na mkuyenge wake....🙄
Unakuwa na walakini kwamba jogoo hapandi mtungi? 🤔

Hii kitu nimeiona wanawake huwa mnakuwa na makasiriko mkicheleweshwa ndo mjue na sisi mkiwa mnatuchelewesha huwa tunamaindi ila basi tu tunavumilia kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…