Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Nmecheka sana πππAlipoona account yangu imeandikwa Jina imeandikwa linaishia Na Ltd (limited) moja kwa moja akajua nimefungua kampuni ndo kwanza Nina idea Sina Ata mia mbovu akafikiri nimejipata
Nmecheka sana πππ
Sa angesema Jaman mi nimeumizwa na kuanzia Leo na washauri Moja,Mbili sio kuja hapa unaanza kutoka Kauli za kudhalilisha one gender.Anatoa ya moyoni na hii ndio maana halisi ya jamii forum mtu akijinyonga mseme ooh mbona hakuomba ushauri kwa watu mjibu politely tu haya mambo hayana mwnyw
Jamaa alitanguliza sana nguvu ya pesa mbele, kumbe kuna fala hana kitu ndiyo kapendwa na Mwanamke !!Jamaa sijui kapigwa tukio gani ...huyu jamaa kama pombe hanywi itabidi tumfundishe ku bet aliwe kama laki 2 hv kwa game moja labda kidogo atakuwa ana roho ngumu ngumu
Yani Hawa sio wakulilia.The good news ni kwamba nimemruhusu mpenzi wangu kunicheat ... na akiona nanzingia aende zake simlazimishi.. hawa viumbe siku hizi hawana formula kabisa
Unatongoza unakubaliwa unahudumia ndani ya miezi kadhaa unakuja kuandika uzi kama huu na ku atach chati zenu na kulia lia πππHuu ni uoga wewe maswala ya kuwa hamsini sio ishu we tongoza tu
MulemuleThe good news ni kwamba nimemruhusu mpenzi wangu kunicheat ... na akiona nanzingia aende zake simlazimishi.. hawa viumbe siku hizi hawana formula kabisa
Hiyo nimeeleza kwa wanawake wote ,hata kama ni dada angu, sjui binti yangu.Sijatukana ila nimesema kulingana na ulivyoeleza.
Hivi nikuulize Kuna Mke anatokea Bila kua demu wako?
Na unataka useme kua unakua na demu humjali unataka Hadi siku umuoe ndio uanze kumjali?
Huyo labda Dada Ako.
One thing ni Mtu kama ni mbaya ni mbaya tu kama atakuliza hata mkeo atakuliza tu the same to us Men.
So pata chimbo lako likikuliza umia silently penda kwingine sio kusema onhooo mara hiv mara hivi labda kama wewe ni motivational speaker.
Ukishajipata ndio wanajifanyaga kurudi kwanza sijui nan anawapaga taarifaππBas demu akaanza kujileta ooh kampuni yako Inawafanya kazi wangapi kumbe tu ni zile ni mipangoπ€£Ila nilijifunza kitu
Ukishajipata ndio wanajifanyaga kurudi kwanza sijui nan anawapaga taarifaππ
Anyway tu find pisi za kishua tu.
Nawewe toaga uzi tuusomeUko wapiii papaa mobimba......
Inamaana kweli nyuzi zangu haujawahi soma? Ni juzi tu nmeandika nauza hereni πΉπΉNawewe toaga uzi tuusome
Utapata taabu tu, kwanza ni uchafu, wanaliwa na midudu kibao so hata ladha sidhani kama watakuwa nayo, pili kuwanunua ni gharama vile vile. Bora mtu atafute mwanamke atayevumilia maisha ya kawaida.Kwa kijana anaejitafuta, kununua utamu kwa malaya inaokoa sana mda kuliko kuwa na mahusiano.
Mambo ya mahusiano waachie wazee maana wao wana mda na pesa, we unaejitafuta huna muda na pesa huna nunua tu malaya, la sivyo utashindwa kufocus na umri utakuacha.
Think about itβοΈ
Nipe linkInamaana kweli nyuzi zangu haujawahi soma? Ni juzi tu nmeandika nauza hereni πΉπΉ
Yes mtapata magojwa ya ajabu ajabu.Unahamasisha ujinga tu! Unajua kununua malaya Ina risk kiasi gan mimi nimekula sana bitches wa kununua kusema ukweli ni upuuzi tu bora ungewashauri vijana wawe Ata hobbies kupunguza mda wa kuwaza mapenzi
Nipe link
Baki hivyo hivyo single hakuna mwanamke anaejielewa akakubali kuwa na mwanaume mchukia wanawake get that into your thick skullKuwekeza kwa wanawake ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na vijana wa miaka hii.
Ni uwekezaji ambao huwa hauna Return On Investment (ROI)
Mpendezeshe wengine wamuoe bwege wewe
Kukitokea misunderstanding tu kati yenu utamsikia
"Kwani nilikulazimisha kunipa pesa au zawadi?"
"Jambo gani la maana uliwahi kunifanyia maishani?"
"Kwani umetumia shingapi kwangu mpaka mishipa ya shingo ikutoke hivyo?"
Wewe kijana investor endelea tu kuwekeza kwa wanawake
You will learn the hard way
Never play fatherly or husband role on a girlfriend
Learn or perish