Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyu Mwanamke?

Anatoa ya moyoni na hii ndio maana halisi ya jamii forum mtu akijinyonga mseme ooh mbona hakuomba ushauri kwa watu mjibu politely tu haya mambo hayana mwnyw
Sa angesema Jaman mi nimeumizwa na kuanzia Leo na washauri Moja,Mbili sio kuja hapa unaanza kutoka Kauli za kudhalilisha one gender.

Kuna kipindi tupo shule Advance just Boyz hapo Ilboru Mwalimu wangu mmoja alikua anatumbia Kila kitu unakifanya Kwa mdada au Mwanamke Flani Waza angefanyiwa Dada Ako au Waza anafanyiwa Mama Ako.

#🇵🇹
 
The good news ni kwamba nimemruhusu mpenzi wangu kunicheat ... na akiona nanzingia aende zake simlazimishi.. hawa viumbe siku hizi hawana formula kabisa
Yani Hawa sio wakulilia.

Kuna msela wangu aliwahi niambia Mimi nikiachwa napenda kwingine na sio kulialia haya maisha maisha mafupi kuendekeza majuto.
 
Huyo mwanamke yupo sahihi. Jamaa awe muelewa aendelee na maisha mengine. Ndio mana kuna ule msemo tunakumbushwa toa kadri ya uwezo wako ila hakikisha ni kitu unaweza himili kukipoteza, hivi vilio visingekuwepo.
 
Sijatukana ila nimesema kulingana na ulivyoeleza.

Hivi nikuulize Kuna Mke anatokea Bila kua demu wako?

Na unataka useme kua unakua na demu humjali unataka Hadi siku umuoe ndio uanze kumjali?

Huyo labda Dada Ako.

One thing ni Mtu kama ni mbaya ni mbaya tu kama atakuliza hata mkeo atakuliza tu the same to us Men.

So pata chimbo lako likikuliza umia silently penda kwingine sio kusema onhooo mara hiv mara hivi labda kama wewe ni motivational speaker.
Hiyo nimeeleza kwa wanawake wote ,hata kama ni dada angu, sjui binti yangu.
 
Kwa kijana anaejitafuta, kununua utamu kwa malaya inaokoa sana mda kuliko kuwa na mahusiano.

Mambo ya mahusiano waachie wazee maana wao wana mda na pesa, we unaejitafuta huna muda na pesa huna nunua tu malaya, la sivyo utashindwa kufocus na umri utakuacha.


Think about it✌️
Utapata taabu tu, kwanza ni uchafu, wanaliwa na midudu kibao so hata ladha sidhani kama watakuwa nayo, pili kuwanunua ni gharama vile vile. Bora mtu atafute mwanamke atayevumilia maisha ya kawaida.
 
Unahamasisha ujinga tu! Unajua kununua malaya Ina risk kiasi gan mimi nimekula sana bitches wa kununua kusema ukweli ni upuuzi tu bora ungewashauri vijana wawe Ata hobbies kupunguza mda wa kuwaza mapenzi
Yes mtapata magojwa ya ajabu ajabu.
 
Nipe link

Nyingine nkutumie wasapu??
 
Kuwekeza kwa wanawake ni moja ya uwekezaji wa kipumbavu sana unaofanywa na vijana wa miaka hii.

Ni uwekezaji ambao huwa hauna Return On Investment (ROI)

Mpendezeshe wengine wamuoe bwege wewe

Kukitokea misunderstanding tu kati yenu utamsikia

"Kwani nilikulazimisha kunipa pesa au zawadi?"

"Jambo gani la maana uliwahi kunifanyia maishani?"

"Kwani umetumia shingapi kwangu mpaka mishipa ya shingo ikutoke
hivyo?"
Wewe kijana investor endelea tu kuwekeza kwa wanawake

You will learn the hard way

Never play fatherly or husband role on a girlfriend

Learn or perish
Baki hivyo hivyo single hakuna mwanamke anaejielewa akakubali kuwa na mwanaume mchukia wanawake get that into your thick skull
 
Back
Top Bottom