Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyu Mwanamke?

Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.

Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.

Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mso
Siri ni kutumia soap "Aina ya dettol Au rungu max" nikwambie tu mkuu ukidate na mikono yako kupitia "CHAPUTA" haitakuomba hela wala kukusaliti
 
Anaendika hivi kazaliwa na Mwanamke ambae nae alipanua miguu akaliwa.
Baba ake Mwandishi alimwamini Mama ake Hadi Leo ukimuuliza utasikia anatoka familia yenye Furaha upendo na Amani hio Amani imeletwa na Wajomba zako kumla dada Yao?

Isingekua Baba Ako kumuamini Mamako na kumla na akakuzaa na kuishi nae Kwa upendo Leo ungekuepo na ungekua unaandika hapa?

Sometimes tukiumizwa tusishikeshike simu...tujifunze kuumia silently.
 
Nimekuelewa mwanangu kula bitch ni risk mzee
Yeah ni risk sikatai, ila kwa anaejitafuta aachane na mahusiano yanapoteza mda hasa kama hutimizi majukumu yote ayatakayo mwanamke wako.
Waweza mpa kila kitu ila ukakosa mda wa kumpa attention hapo lazima umpoteze na waweza mpa atttention ukashindwa kumtimizia mahitaji mengine akatafuta kwingine ukaachwa.

That's why nimeshauri mahusiano waachiwe wazee maana wao wana muda na pesa.

Vijana tutapambane kivingine mda haukusubiri utakuja kushtuka mbeleni na kusema ningejua ule mda ninge focus ila ndo hivo ushapita.
 
Usikae na vitu moyoni wewe sio bahari sometime Ata bahari nayo inatema ikizidiwa
 
Mf
Anaendika hivi kazaliwa na Mwanamke ambae nae alipanua miguu akaliwa.
Baba ake Mwandishi alimwamini Mama ake Hadi Leo ukimuuliza utasikia anatoka familia yenye Furaha upendo na Amani hio Amani imeletwa na Wajomba zako kumla dada Yao?

Isingekua Baba Ako kumuamini Mamako na kumla na akakuzaa na kuishi nae Kwa upendo Leo ungekuepo na ungekua unaandika hapa?

Sometimes tukiumizwa tusishikeshike simu...tujifunze kuumia silently.
Ficha maradhi kifo kitakuumbua
 
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.

Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.

Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Kamwe in life usitegemee any return kutoka kwa mwanadamu

Do what makes you happy and when it’s over, remember what you gained wakati wa mahusiano
 
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.

Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.

Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Tutarudi palepale, inawezekana ni kweli kabisa alikwama na alikuwa na uhitaji, swali ni Je, alikuomba? Mliwekana wazi kuhusu conditions za misaada? Alijua lengo lako?

Kama kweli unaweza kumsaidia kwa kiwango hicho basi wewe ni wa hadhi ya juu, hupaswi kuwa mpenzi wake bali baba yake.

Muombe tu asikukatie mawasiliano bali akupe nafasi ya kuwa kama baba yake ili uendelee kumlea kwa upendo mkuu
 
Yeah ni risk sikatai, ila kwa anaejitafuta aachane na mahusiano yanapoteza mda hasa kama hutimizi majukumu yote ayatakayo mwanamke wako.
Waweza mpa kila kitu ila ukakosa mda wa kumpa attention hapo lazima umpoteze na waweza mpa atttention ukashindwa kumtimizia mahitaji mengine akatafuta kwingine ukaachwa.

That's why nimeshauri mahusiano waachiwe wazee maana wao wana muda na pesa.

Vijana tutapambane kivingine mda haukusubiri utakuja kushtuka mbeleni na kusema ningejua ule mda ninge focus ila ndo hivo ushapita.
Nimechukua notice siku nikifikisha miaka 45 ntaanza kumiliki watoto wakali
 
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.

Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.

Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Tafuta type yako mkuu..
Haya yote yasingetokea.
 
Ungesoma na kuelewa andiko usingetukana.

Btw unaweza kutukana zaid ya hapo
Sijatukana ila nimesema kulingana na ulivyoeleza.

Hivi nikuulize Kuna Mke anatokea Bila kua demu wako?

Na unataka useme kua unakua na demu humjali unataka Hadi siku umuoe ndio uanze kumjali?

Huyo labda Dada Ako.

One thing ni Mtu kama ni mbaya ni mbaya tu kama atakuliza hata mkeo atakuliza tu the same to us Men.

So pata chimbo lako likikuliza umia silently penda kwingine sio kusema onhooo mara hiv mara hivi labda kama wewe ni motivational speaker.
 
Anatoa ya moyoni na hii ndio maana halisi ya jamii forum mtu akijinyonga mseme ooh mbona hakuomba ushauri kwa watu mjibu politely tu haya mambo hayana mwnyw
Sijatukana ila nimesema kulingana na ulivyoeleza.

Hivi nikuulize Kuna Mke anatokea Bila kua demu wako?

Na unataka useme kua unakua na demu humjali unataka Hadi siku umuoe ndio uanze kumjali?

Huyo labda Dada Ako.

One thing ni Mtu kama ni mbaya ni mbaya tu kama atakuliza hata mkeo atakuliza tu the same to us Men.

So pata chimbo lako likikuliza umia silently penda kwingine sio kusema onhooo mara hiv mara hivi labda kama wewe ni motivational speaker.
 
Bi
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ?

Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia wanawake .. huo ndio uhalisia kataa kubali!!
“ Mwanamke hajali kile unachomfanyia ukilinganisha na kile anachokufanyia wewe” SOMA TENA.

Ndio atajisikia furaha, na kukuita majina yote mazuri unayoyajua na hata kukuambia asante mara 700,hata kukupa ngono utakapo hitaji kukuonesha kwamba na yeye anajali .. LAKINI UKWELI NI KWAMBA HATHAMINI JITIHADA ZAKO JUU YAKE.

Unajua anathamini nini ni jitihada alizozifanya juu yako ,mda ,pesa ,hisia na kila kitu alicho wekeza juu yako. Yess 100% she value that.

Ok sasa nirudi kwenye andiko langu na wala usininukuu vibaya. Elewa kwamba sina maana ya kwamba usifanye kitu chochote kwa mpenzi wako , hapana wewe mpe upendo ,pesa, care ,attention na takataka zote utakazo weza. But mpe kwa kiasi ambacho hautakuja kulia machozi ya samaki ziwani.
kwa kila kitu unachompa mwanamke hesabu hasara.

Kamwe usitumaini kwamba jitihada zako atazirudisha, Ni kama kupanda mtu ,ukitoa matunda sawa na usipotoa iwe sawa pia.

Kwasababu huyo huyo mwanamke anaekuambia” asante kwa kila jambo unalomfanyia” ndio mwanamke huyo huyo atae kuambia “sikukulazimisha kufanya kila kitu juu yangu” na ndio mwanamke hyo huyo atae kuuliza “ umefanya nini cha thamani juu yangu”.

Mwisho
#Mangungu tuachie timu yetu mView attachment 3131489
Binafsi namwambia mwanamke kama unanipenda NAMI nakupenda basi tusaidiane haina haja ya Kila kitu nikufanyie.

Naambiwa bahili sijui matunzo ila kiukweli Mimi sijali.. nikipata na siku zikinikaa vizuri nampa

Tukikwazana kidog tu anasema hunihudumii vyakutosha na mim hainiumi kwakuwa ni kweli simhudumii vyakutosha.

Shida kubwa ni huu uoga tunaopeana kuwa mwanamke usipomridhisha sijui kumhudumia atakukimbia au wenzio wanakupigia,

It's ok, mwanamke hata umuhudumie vipi akitaka kutoka nje anatoka tu tena Kwa ajili ya vitu vya kijinga saana.

Kiongoz mim sio mhongaji ila wanawake nakaa nao saana tu.

Mwanamke Yuko kama mteja wa dukan hasa kwenye hivi vibanda vya mangi, ukimkopesha Kwa kuhofia kuwa atatoka kwako na kwenda Kwa mwingine hapo umempa ruhusa kutokuja dukani kwako maana atajua kuwa ana deni, ila ukimnyima lazima atakuja tena tu maana anajua anakuja kununua na Hana deni.

Ukimhudumia mwanamke Kwa hofu kuwa atatoka nje, siku atatoka tu bila sababu ya msingi. Ila ukimwambia ale kinachopatikana anakuwa na hofu yakutoka nje.

Acheni kujitutumia wanaume wenzangu,
 
Back
Top Bottom