Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Hapana. Moyo unahuasika kwa 100% katika kupenda.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Paleomammalian Cortex (Limbic System) hii ndio sehemu ya ubongo inayohusika nma kupenda mtu, unapomuona mtu yoyote unayempenda hii sehemu ya ubongo inatoa chemicals mbazo zinapelekea moyo kwenda kasi, halafu unasikia moyo unampenda sana huyo mtu lakini ukweli huo upendo upo kwenye ubongo. Hizo hisia unazisikia kwenye moyo sababu kuna Nerve mbalimbali ndani ya moyo ambazo huhisi maumivu ua hali yoyote kutokana na jinsi ubongo ulivyoamua moyo uhisi…

Emotions zinakaa ndani ya Akili (Mind, kumbuka mind ipo ndani ya Ubongo) hivyo basi kupitia Limbic system Love
Emotions hutafsiriwa na kutolewa huko kwenye Moyo kama output Device.
 
Mkuu umeelezea vizuri sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Safi Sanaa aisee. Now kuna baada ya kusoma uzi wako umenipa moyo jinsi ya kufanya mahamuzi kama mwanaume nimejisahau Sanaa kwa uyu demu
 
Ni upopoma tu.
Hutakiwi kuruhusu chochote kikuendeshe. Ukiona huli hulali kisa mtu mwingine akupuuzaye umeruhusu kutawaliwa.
Njia sahii ni ipi hapo ili niweze kujizuia naomba msaada wako
 
There's no such thing as a true love. Nobody really loves you

“Nobody really loves you” Ndio ulikofikia huku [emoji28]

Kuna somewhere mtu anakupenda ila swali will you lover her back

Mm nshapunguzaga expectations itafika some point ntasema kwamba i just don’t wanna die alone ntachagua with my head basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…