Wanaojiua ajili ya mapenzi ni wajinga, yaani na ugaidi wangu huu nilie kisa mwanamke, Never😅😅.Nilishawahi kumpenda mtu mpaka nilijuta akili inaniambia sipendi ila moyo unaniambia tulia tu endelea kupambana kiukweli siwacheki wanaoteseka maana nimepitia hiyo hatua ila kiukweli moyo ni tatizo najua kuna watu wanasema siwez just mshukuru Mungu sana kama hujapitia hiyo hali lakini usijifariji as long as bado upo hai siku moja utakutana na chuma cha reli kitakufanya uimbe a,e,i,o,u UKIONA mapenzi yanaua usione wanao jiua ni wajinga hapana ni kwamba kudhibiti hisia sio jambo rahisi sana kama wengine wanayodhani
Love is beautiful [emoji7]Please don't make me cry
Cause I can't say goodbye
Please don't make me cry
Because I know there will be nothing left for me
View attachment 2264948
Daah Joannah umemaliza mpenziAsante.umenigusa,haya maneno yako yananikazia tu ujasiri!Love is not my fate na bahati nzuri nishajitambua hilo so hayanisumbui hata dakika moja,yaani Nina Furaha bila kutegemea uwepo wa binadamu aliyezaliwa na mwanamke Kama Mimi.....Siwezi kukaa naumia kisa mtu na Furaha zake,yeye afurahi mimi nikonde!hapana......Moyo wangu nilishauambia Ukisikia kipenga pyeee Basi !achana na hiyo part time job endelea kazi yako ya asili "sukuma damu"
Thnx vinci ila niko nakomaa hope soon nitamtoa akiliniOmba msaada ushauriwe Moneytalk, usiishie kuumia ongea nasi [emoji3577]
Pole sana mkuuYani najifariji na kupata ujasiri kupitia comment za wadau
Nadhani mimi nafanana na weweAsante.umenigusa,haya maneno yako yananikazia tu ujasiri!Love is not my fate na bahati nzuri nishajitambua hilo so hayanisumbui hata dakika moja,yaani Nina Furaha bila kutegemea uwepo wa binadamu aliyezaliwa na mwanamke Kama Mimi.....Siwezi kukaa naumia kisa mtu na Furaha zake,yeye afurahi mimi nikonde!hapana......Moyo wangu nilishauambia Ukisikia kipenga pyeee Basi !achana na hiyo part time job endelea kazi yako ya asili "sukuma damu"
Ndo nini?Uliniokopa👀
Sahihi sanaSidhani Kama mleta mada amewahi kupenda . Mapenzi yana nguvu sana
Sio upumbavu,it's a human nature,wewe sio robot,usijifsnye super man,there is no such a thing as "super man"Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda halafu yeye hana mpango na wewe. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore.
Ukiwa peke yako unakuwa unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio hana habari (He/she don't give a damn shit)
Unampenda sana unamuonyesha upendo wa kweli ila ha-Appreciate lolote ulifanyalo. Unabaki kulia tu usiku wa manane unawaza hadi kujiua au kujiona mtu usie na maana maishani wakati YOU WORTHY MORE THAN BILLIONS BEFORE GOD.
Kwanini uvumilie yote hayo mateso kama vile huyo abayekutesa ndio binaadamu pekee alibaki ulimwenguni..Wewe unakonda mwenzio anatoka shavu dodo.
Penda unapopendwa, penda pale unapoona unapata mrejesho wenye thamani ya upendo unaotoa. Wapo wengi wanatamani wakupe upendo wa dhati ila uneqafumbia macho na kung'angani mtu mmoja asiyejua thamani yako na thamani ya upendo wako.
Usilazimishe kupendwa,
Usilazimishe mawasiliano
Usilazimishe urafiki
Usilazimishe kupenda
Fura inachukuliwa haipewi..usisubiri mtu akupe furaha inuka kaichukue.
Be Valuable not available to everyone.
Kupendana ni upumbavu
Vers
Mwanaume haniachi kibwege bwege labda tu niwe nimeamuaSawasawa nini mamndenyi??👋