Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #321
Wanaojiua ajili ya mapenzi ni wajinga, yaani na ugaidi wangu huu nilie kisa mwanamke, Never😅😅.Nilishawahi kumpenda mtu mpaka nilijuta akili inaniambia sipendi ila moyo unaniambia tulia tu endelea kupambana kiukweli siwacheki wanaoteseka maana nimepitia hiyo hatua ila kiukweli moyo ni tatizo najua kuna watu wanasema siwez just mshukuru Mungu sana kama hujapitia hiyo hali lakini usijifariji as long as bado upo hai siku moja utakutana na chuma cha reli kitakufanya uimbe a,e,i,o,u UKIONA mapenzi yanaua usione wanao jiua ni wajinga hapana ni kwamba kudhibiti hisia sio jambo rahisi sana kama wengine wanayodhani
Nadhani nitalia na kujicheka siku hiyo.