Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Sorry guys mim mwenyew nipo ktk mahusian lakn nateseka kwel toka niwe na mahusiano na huyu mwanamke sikua wai kumtilia mashaka hivo toka alivo niongepea mpk leo simuamin ilkuwa hiv kujaa jamaa mmoja alkuw anasema kakaake kumb bwana ake ilo mim nikagundua na nikwambaia lkn akapinga ila namb za yule jamaa akanipa kwa malumbano makubwa kias akaniblock kbs nikapat kujua nikwel yule sio kaka nikamtafuta nikwambabia lkn yey mda huo akawa atak tena tuwe na mahusiano ila 7bb nampenda nikawa mpole nikaomba yaishe ss mpk leo kuna mamb akinya me natak kujua ila inakua tunagomban juz tu hapa yul dem akunitafut tok asubuh ikaja nichek jion ooh mulla nilkuw hospital hiv narud ss napata chai me nikawa mpole na ndo nilivo kila siku nikiwa makl anaomba tuachanae ss nikamwambia kama kwel ulkuw hospital nioneshe kadi la hospital kwa kupiga picha nakutuma whtsapp ss unazan alituma zaid ya ugomv tena oh kam unuamin niache nikamtafut usiku 7bb yey bar merd ivo pia nilkuw sijui ila nikachunguz adi kujua ss nilivo mtafuta akajibu ww kaka jiheshimu unapoheshimiwa wallah nilkufa nguvu mpk leo hii sijamtafut ila status anawek vijembe kuhus mm nina wivu walijing
 
Tafuta uzi wangu unaitwa "Je,Ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki kubaki maishani mwako"
Utakusaidia
 
Pole..hakufai
 
Man kimbia mbali sana na pepo huyo
 
Na ww unampenda sana km ndo mziwanda kwa wanawake, tafuta pisi nyingine huyo mblock usitake kujua chochote kuhusu yy, na inawezekana ndo mpenz wako wa kwanza mana ungekuwa konki wala usingeomba msamaha kwa kosa lake ACHANA NAE UTAPATA SUKARI NA PRESHA
 
Silazimishi kupenda..

Silazimishi Mawasiliano..

Silazimishi chochote..

Ila yote hayo hutokea Automaticaly without my intention

Penye upendo/mapenzi huwezi ona kama unalazimisha,ila yote utayafanya bila kujitambua na kugundua kitu,ila ukijiona umegundua kuwa "una lazimisha" Fahamu "hujampenda".

Kuna wale utawasikia oooh mimi ukinikataa sikubembelezi,ooh mimi nikuone hueleweki naachana nawewe,nk nk,Hizo kauli hutoka kwenye mioyo isiyo na UPENDO/MAPENZI ya dhati ndani yake.

Nikwambie kitu,

Nilimpenda mdada m1 hivi huko nyuma,yule dada nilimpenda kweli sina chembe ya maigizo ndani yangu ila bahati mbaya yule dada alikua hanipendi na alikua hanipendi kweli KWA HERUFI KUBWA ila sikujali wala kuona kama sipendwi.

Usiku nilimtumia msg za usiku mwema zisizo jibiwa,asubuhi nilimpgia simu japo hakuwahi pokea ila nlituma msg,mchana nlituma msg kuuliza anaendeleaje.

Nikienda mahali nikaona gauni,kiatu kizuri chakike nitamnunulia na kumtuma mtu ampelekee,japo zawadi zangu 81% amekua akizitupa mbele ya macho yangu chini kabisa,namm nilikua siokoti akitupa "shauri ake"

Hamna ambacho sikumfanyia yule dada,valentine day nilikua nampa nanunua zawadi za maaana naenda tegesha pale mlangoni kwao akiamka anakutana nazo,nk nk nk

Muda wote huo nilifanya na nilijiskia amani na bado upendo juu yake haukupungua,Siku moja Bila kutegemea usiku ikaingia msg "Good night CONTROLA " kuangalia alietuma nikakuta ni yeye asee nikaamua kupga pale pale maana nilihisi kama muujiza,tuliongea usiku mzima just stories.

Asubuhi nikaamka na furaha sana maisha yakaendelea,yule dada akawa mpenzi wangu hapo n baada ya miaka miwili kama na nusu hivi,Nilimpenda sana tukapendana sana.

Siku 1 nipo kanisani nimepigwa neno likaniingia mpk kwenye damu Nikaamua "kuokoka",ikanibidi niachane na mambo ya dunia nimtumikie Mungu sasa,nikamuita yule dada akaja home tukaanza ongea nikamuelezea adhma yangu ya kuachana nae..

Sababu ni kwamba nmeamua kumtumikia Mungu staki tena uasherati,ma ma ma ma ma ile siku ni siku ambayo sitoisahau maana yule dada aliniambia LIVE CONTROLA ukiniacha najiua.

Nilijua anatania basi mimi kimya sikujali,alinililia sana yule dada, alitoa makamasi yote,machozi yote nilim bembeleza lakini wapiii end of the day akaniuliza CONTROLA are you serious? nikamjibu ndio! akaniambia sawa Tutakutana Mungu akipenda,akaniomba anikumbatie nikamsogelea akanikumbatia akalia sana sana kisha akachoropoka akatoka nnje.

Mi nikabaki ndani baada ya dk 5 nkasema nitoke niende zangu dukani,nikashangaaa natoka nakuta pale nnje kuna viatu vyake yule dada ina maana alivyoondoka hakuvaa viatu alitoka peku peku akasepa zake,nikasema nimpgie simu yake ikawa inaita ila haipokelewi.

Basi nikaenda zangu dukani nikarudi nikaoga nikapumzika,nilikuja kuamka baada ya kupigiwa simu niliona ni simu ya yule dada "jina lake lilitokea pale juu" Kupkokea hakua anaongea yule dada ila nilikua napewa taarifa za Mtu aliefariki kwa Kujinyonga na mtu aliekuta mwili ukibembea kwenye lodge juu ya Feni. Yule dada hayupo tena.

Ntaka kusema nini

si kila anaekukataa sasa hivi unatakiwa kumpuuza,wengine akili zao zinakua bado hazipo matured kuona mbali na kutambua wewe da vince ni mume wake mtarajiwa/rafiki wa kweli,nk wakati huo akili yake ipo kitoto toto so unachotakiwa

kufanya usikataliwe na wewe ukaamua kumkataa,kama kweli una uhakika umempenda Usikate tamaa kwa ajili yake "Keep Forcing"" Keep Pushing,siku moja akili yake itakapo funguka atakuelewa and trust me Huyo mwanamke/rafki ulie hangaika kumpata siku atakapokuja kukubali kuwa nawewe Nakuhakikishia "mtazeeka pamoja".

Urafiki/Mahusiano yasiyo na sacrifices kutoka kwa mmoja wenu huwa haudumu nakuhakikishia,yani wewe umemtongoza demu leo baada ya siku 3 kakupa jibu,asee mkidumu mwaka,Sijui ila angalia yale mahusiano ambayo kuna mmoja alikua akilazimisha mwenzake ampende,angalia yale mahusiano ya namna hiyo huwa yakijaga Ku tick kuvunjika hayo mahusiano Lbda ije tsunami toka mbinguni tu ndio itayavunja not otherwise.

Kuna wimbo wa JUX unaitwa "sisikii" huu wimbo mwanamke ndie aliekua aki force apendwe,mwanaume akili zilikua zero haelewi A wala Z mwanamke kamvumilia sana mwanaume ila imefika sku 1 mwanaume aliekua haoni thamni ya yule mwanamke Akili zikamrudia Masikio yakazibuka, anasema kwenye moja ya mistari ya huo wimbo huyo mwanaume sasa

"kuna makosa ulipaswa usinisamehe
"sikufwata ulivyotaka,hukupenda tugombane

hapo juu inaonyesha mwanaume alikua akili ni ZERO maana kama makosa kumfanyia mwenzake ya makusudi kamfanyia sana,nadhani unaelewa makosa mtu akufanyie kosa la makusudi ili akuboe hua inavyouma.

Ila mwanamke hakumuacha aliendelea "kulazimisha" ambapo wewe da vinci ndio hutaki ila mwisho wa siku sasa kilichokuja tokea kwa huyu mwanaume mwenye akili zero,akili zilimrudia na mapenzi akayarudsha kwa mpenzi wake sasa anamuahidi haya maneno hapa chini

"umejitahidi kunipa upendo
''ntakupenda zaidi my love

sasa imagine hapo sasa mwanaume anarudisha upendo 100% anakutana na upendo kwa mwanamke ambao tayri ulikua umezidi 100% wanaungana,Hivi unaweza kuvunja mahusiano ya hawa watu?????

Ukiwaona barabarani wanapendana wana cheza wanaruka ruka kama njiwa,Who will be man of the match?? kwa vyovyote vile man of the match kwenye haya mahusiano ni "mwanamke" alie "force,alie lazimisha" Yes mapenzi yapo hivyo.

Hii ni chai, mwanamke kama hakupendi, hakupendi tu CONTROLA
 
Back
Top Bottom