Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,818
- 8,451
Mwamba kazingua mahari aiishi.Mwamba kajinyonga kisa anadaiwa mahari
Hata mm mkuu nimejipatia kachimbo ya kazuri ndokidogo naishi kama binadamu ila kila Kona nilipita naoa lini.Niko mid 30 naulizwa sana hili swali.
Linanikera sio kwamba sitaki kabisa kuoa ila katika mapambano yangu Sasa hivi ndio naanza kula matunda baada ya msoto mkali wa miaka 10+
Nina wanawake wawili.
Nimeacha hata kwenda Kwa ndugu sababu hili swali lazima waulize
Na wengi sio kwamba wananijali kivile ni watu wa mbali hawajui hata ABC zangu.
I mean...unataka kujua naingia kwenye ndoa lini ili ikusaidie nini?
Kwahiyo kuoa ndio jambo la maana??Sasa kama tunakuona umri unazidi kuzeeka na hatuoni Cha maana ulichonacho Cha kukufanya uchelewe kuona tusikuulize?
Chanzo ni nyieWe mwenyewe dipresheni.
ahahah!ili wakuweke kwenye kundi la mtu mzima sio muhuni au kimada, ukiwa umeoa au umeolewa kuna heshima Fulani unakuwa nayo kwenye jamii au familia,isitoshe ni amri Toka kwa Mungu kuwa uishi na Mwanamke au mwanaume kindoa sio katika hali ya kimada. Bibie inaonyesha we mtata fulaniii! Maana umepinga kibabe.Ni moja ya swali la kipimbi kabisa kuulizwa,mbaya zaidi mara nyingi linaulizwa na either ndugu wa mbali sana ambao huwajui ama huna mazoea nao ama majirani tu ambao kimsingi wote hao haiwahusu
I mean...unataka kujua naingia kwenye ndoa lini ili ikusaidie nini?
Maswali ya hivi wakati mwingine yana madharaahahah!ili wakuweke kwenye kundi la mtu mzima sio muhuni au kimada, ukiwa umeoa au umeolewa kuna heshima Fulani unakuwa nayo kwenye jamii au familia,isitoshe ni amri Toka kwa Mungu kuwa uishi na Mwanamke au mwanaume kindoa sio katika hali ya kimada. Bibie inaonyesha we mtata fulaniii! Maana umepinga kibabe.
Ni sahihi kama unamuongelea yeye personally, ila ukija kwenye jamii ndoa ni muhimu sana kwa ustawi wa jamii nzima hata taifa, uongozi bora unaanzia nyumbani, Mtoto aliyepata malezi bora ya mama na baba, ni tofauti na mtoto aliyekosa hayo malezi, kwa mantiki hiyo ni muhimu kuendelea kuhamasishana watu waishi katika maadili mema na moja katika hayo maadalili ndoa ni moja kati ya njia sahihi sana kupita kwa ajili ya kujenga kizazi boraHizi sheria za kijima.
Mtu mzima ana maamuzi yake mwenyewe na kuoa si lazima.
Bado hii haikufanyi uachwe kuulizwa hili swali, kama umri wako ushafika 30+ hili swali litakuhusu tuu mkuu, kumbuka watu wanavokuona kwa nje ndo kunapelekea kuku judge, kwahiyo huitaji kupanik relax, wakikuuliza wajibu kwa utulivuajali huwez linganisha na ndoa mkuu
...ndoa inaitaji maandalizi kifkra, kiuchumi na kiafya.
...sasa watu wengi huzani ndoa ni km kununua pikiki yakuwa unaamka tu na hela yako unaenda dukan kununua
...fikiria unaniuliza naoa lini wakat me hata milo mitatu kwang tabu je unazan ntakujibu nn km hatutoishia.........
Bado hii haikufanyi uachwe kuulizwa hili swali, kama umri wako ushafika 30+ hili swali litakuhusu tuu mkuu, kumbuka watu wanavokuona kwa nje ndo kunapelekea kuku judge, kwahiyo huitaji kupanik relax, wakikuuliza wajibu kwa utulivuajali huwez linganisha na ndoa mkuu
...ndoa inaitaji maandalizi kifkra, kiuchumi na kiafya.
...sasa watu wengi huzani ndoa ni km kununua pikiki yakuwa unaamka tu na hela yako unaenda dukan kununua
...fikiria unaniuliza naoa lini wakat me hata milo mitatu kwang tabu je unazan ntakujibu nn km hatutoishia.........
Mkuu ukisema huna mpango wa kuoa unakua unajifikiria wewe mwenyewe, kama una mpango wa kuja kupata watoto ujue hao watoto kuna kitu watakosa, fikiria tena mkuu, ndoa si kwa ajili yako tuu ni pamoja na ustawi bora wa kizazi chakona mimi sioni nikioa maishani mwangu bora niwe single nile bata
Ni sahihi unavosema lakini pia kumbuka watu wakikuhimiza uoe au kuolewa sio kwa ajili yako tuu, ni pamoja na kizazi chako na jamii nzima, Uongozi bora unaanzia nyumbani, Ukifanya maamuzi ya kuzaa tuu bila kuolewa jua hapo unatengeneza tatizo kwenye jamii kwavile watoto wako watakosa Malezi bora, Watu wengi wanaweza wakafikiri wakishapata hela inayowatosheleza kuishi na watoto bila ya Baba basi wamemaliza, lakini kiukweli tunatengeza kizazi ch ajabu sana,Sidhani kama kuna uhusiano wa ulichoandika
Kuna utofauti kati ya kuingilia mipaka ya maamuzi ya mtu binafsi na kutoa msaada wa kibinadamu
Kuuliza au kushinikiza mtu aingie kwenye ndoa ni kuingilia maisha yake binafsi kwasababu sidhani kama kuna mtu anadhurika kwa namna yoyote fulani asipofunga ndoa
Kumsaidia mtu aliyepata ajali ni kuokoa uhai wa mtu, haihusiani na kuingilia maisha yake
Bora umesema , ni Kati ya maswali ya ki goigoi mnoNi moja ya swali la kipimbi kabisa kuulizwa,mbaya zaidi mara nyingi linaulizwa na either ndugu wa mbali sana ambao huwajui ama huna mazoea nao ama majirani tu ambao kimsingi wote hao haiwahusu
I mean...unataka kujua naingia kwenye ndoa lini ili ikusaidie nini?
Ni sahihi unavosema lakini pia kumbuka watu wakikuhimiza uoe au kuolewa sio kwa ajili yako tuu, ni pamoja na kizazi chako na jamii nzima, Uongozi bora unaanzia nyumbani, Ukifanya maamuzi ya kuzaa tuu bila kuolewa jua hapo unatengeneza tatizo kwenye jamii kwavile watoto wako watakosa Malezi bora, Watu wengi wanaweza wakafikiri wakishapata hela inayowatosheleza kuishi na watoto bila ya Baba basi wamemaliza, lakini kiukweli tunatengeza kizazi ch ajabu sana,
Kwa lugha rahisi kabisa watu wakitaka Uoe au kuolewa pia wanaokoa maisha yako na kizazi chako
Kila mtu akitaka ndoa aamue bila shinikizo la maswaliBora umesema , ni Kati ya maswali ya ki goigoi mno
Mkubwa huna cha kukwepa hapo, kuto kuoa au kuolewa kwa lugha nyingine ni kukwepa majukumu, Kama wote tunataka kuwa na taifa bora basi tambua misingi bora inaanzia kwenye familia na familia bora inajengwa na wanandoa sasa wewe unakwepa jukumu hilo afu sio ajabu utakua unalalamika kuwa kizazi cha sasa kimekosa maadaliliPia mimi ninapitia hayo masaibu nina miaka 45 na sijaoa,kila nikienda mkoani huwa waniuliza "mwali utaleta lini",huwa nakosa cha kujibu mpaka sai nimeamua kutokwenda mkoani.
Faida za kuoa.kupata nguvu kazi kwa taifa,kupata viongozi watakaomaliza utekaji,kupata vizazi vyenye maono mapya n.k.sasa wewe hutaki kuolewa unataka nchi/Dunia iendelezwe na nani?Kwa lugha nyepesi acha mtu afanye maamuzi akiwa na utayari
Sio kila mtu anahitaji ndoa
Ni sahihi kama unamuongelea yeye personally, ila ukija kwenye jamii ndoa ni muhimu sana kwa ustawi wa jamii nzima hata taifa, uongozi bora unaanzia nyumbani, Mtoto aliyepata malezi bora ya mama na baba, ni tofauti na mtoto aliyekosa hayo malezi, kwa mantiki hiyo ni muhimu kuendelea kuhamasishana watu waishi katika maadili mema na moja katika hayo maadalili ndoa ni moja kati ya njia sahihi sana kupita kwa ajili ya kujenga kizazi bora
Mkuu ukijiangalia personal utakua sahihi sana, na kama pia utakua huna mpango wa kuja kuwa na watoto, Lakini kama una mpango wa kuja kuwa na watoto na bado huoni kama ndoa ni kitu muhimu sana basi jua unakosea, Sasa tunatengeneza jamii ya namna gani ikiwa watu hawataki kuwajibika na ustawi bora wa watoto wao? Watu wanaokwepa ndoa kwa lugha rahisi hawataki kuwajibika na ni wabinafsi wanajifiria wao zaidi hawafikirii ustawi bora wa vizazi vyaoMkuu maisha huwa hayatambui umeoa au haujaoa n.k
Issue ya kupata ajali , na kupata msaada imekaa kiutu zaidi na sio ndoa n.k
Watu wengi hapa Tanzania wamekuwa wakiichukulia ndoa Kama sehemu ya kukupa usalama
Utasikia maneno Kama
Ukiumwa je ?
Ukipaga ajali je ?
N.k
Mambo Kama haya yanakufanya kukupa pressure na kuamua kuoa au kuolewa .
Na hata ukiwa hauna mtoto utaambiwa the same stuffs
Ila Maisha generally ni kitu cha uhalisia .
Usipoweka misingi imara ya Ku-secure Future yako n.k , na ukabaki kutegemea watoto na ndoa
Ujiandae kuja kuteseka na kuumia Sana.
Watoto
Ndoa
N.k sio BIMA ya MAISHA