Faida za kuoa.kupata nguvu kazi kwa taifa,kupata viongozi watakaomaliza utekaji,kupata vizazi vyenye maono mapya n.k.sasa wewe hutaki kuolewa unataka nchi/Dunia iendelezwe na nani?
Mostly kichaga wanauliza sana si majirani ila wazazi(kama wako hai) au walezi na blood relatives.Ni moja ya swali la kipimbi kabisa kuulizwa,mbaya zaidi mara nyingi linaulizwa na either ndugu wa mbali sana ambao huwajui ama huna mazoea nao ama majirani tu ambao kimsingi wote hao haiwahusu
I mean...unataka kujua naingia kwenye ndoa lini ili ikusaidie nini?
Mkuu ukijiangalia personal utakua sahihi sana, na kama pia utakua huna mpango wa kuja kuwa na watoto, Lakini kama una mpango wa kuja kuwa na watoto na bado huoni kama ndoa ni kitu muhimu sana basi jua unakosea, Sasa tunatengeneza jamii ya namna gani ikiwa watu hawataki kuwajibika na ustawi bora wa watoto wao? Watu wanaokwepa ndoa kwa lugha rahisi hawataki kuwajibika na ni wabinafsi wanajifiria wao zaidi hawafikirii ustawi bora wa vizazi vyao
Kwa misingi ya ustawi bora wa familia jamii na nchi kwa ujumla, hapa naongelea maadiliAliyesema kwamba katika hatua za maisha ya mwanadamu, ndoa ni hatua ya muhimu ni nani?
Kwa misingi ipi?
Unapomuuliza mtu ataoa lini, unajuaje ana mpango wa kuwa na watoto?Mkuu ukijiangalia personal utakua sahihi sana, na kama pia utakua huna mpango wa kuja kuwa na watoto, Lakini kama una mpango wa kuja kuwa na watoto na bado huoni kama ndoa ni kitu muhimu sana basi jua unakosea, Sasa tunatengeneza jamii ya namna gani ikiwa watu hawataki kuwajibika na ustawi bora wa watoto wao? Watu wanaokwepa ndoa kwa lugha rahisi hawataki kuwajibika na ni wabinafsi wanajifiria wao zaidi hawafikirii ustawi bora wa vizazi vyao
Kuna umri ukifika huwezi kukwepa hili swali mkuu, hasa kwa jamii za ki africa, unakuta mtu yuko 30+ financially yuko stable, anaonekana akibadilisha wanawake tuu, huyu lazima Ndugu, jamaa na watu wake wakaribu wamuulize, Ndoa inaweza kuonekana ni kitu cha maamuzi binafsi lakini tunapaswa kuhimizana kwa ajili ya kesho bora ya kizazi chetu, Mfano ukiwa na rafiki yako anatumia pombe kupitiliza na kubadili wanawake, huta mshauri aache kwavile unaingilia uhuru wake binafsi?Unapomuuliza mtu ataoa lini, unajuaje ana mpango wa kuwa na watoto?
Kama hana mpango wa kuwa na watoto, na swali hilo halipendi, kwa sababu linamuingilia jambo lake la faragha, huoni kuwa utakuwa umemvunjia faragha yake hapo kwa sababu ya kuendekeza dunia unayoipenda wewe tu?
Kuna umri ukifika huwezi kukwepa hili swali mkuu, hasa kwa jamii za ki africa, unakuta mtu yuko 30+ financially yuko stable, anaonekana akibadilisha wanawake tuu, huyu lazima Ndugu, jamaa na watu wake wakaribu wamuulize, Ndoa inaweza kuonekana ni kitu cha maamuzi binafsi lakini tunapaswa kuhimizana kwa ajili ya kesho bora ya kizazi chetu, Mfano ukiwa na rafiki yako anatumia pombe kupitiliza na kubadili wanawake, huta mshauri aache kwavile unaingilia uhuru wake binafsi?
Kuna watu kibao wameoa na kuzaa kwa fashion kwa sababu jamii imewalazimisha.Usipooa watakuuliza, ukioa watauliza kuhusu kupata mtoto , ukipata watoto watakutenga upambane na maisha yako
Mkuu hiyo mifano uliyotoa ni special case lakini tunavyongelea mustakabali wa taifa Ndoa ni muhimu sana , ngoja nkupe mfano kuna nchi sahv zimeanza kuhamasisha watu wazae kwa kuhofia kupoteza uchumi na nguvu kazi ya baadayeKwani kila asiyeoa anapata mtoto? Hivi hujui kuna watu hawataki ndoa na pia hawataki kuzaa au kuzalisha?
Uhuru wa mtu binafsi kwenye mambo yake binafsi ni muhimu sana.
Na si lazima kila mtu ajali ustawi wa jamii, taifa, uongozi bora kwa jinsi unayofikiria wewe.
Mfano, ikiwa kazi ya kugundua dawa ya kansa inataka mtu ayatumie maisha yake yote kuitafuta, asijiingize kwenye kuoa wala kuzaa, na mtu akifanya hivyo, mpaka akapata dawa ya kansa ambayo itaifaidisha dunia nzima, kwa yeye kutooa au kuolewa na kutokuwa na mtoto, huyo naye utamlaumu kuwa hajaoa au kuolewa na hivyo hajathamini ustawi wa jamii, taifa wala uongozi bora?
Unaelewa kuwa unanyanyapaa watu kuwa hawajakamilika mpaka waoe au waolewe na wazae, wakati kuna watu hawajaoa wala kuzaa na wana mchango mkubwa sana hapa duniani?
Haya, ikiwa mtu anajijua yeye ana matatizo ya afya ya kurithisha, na hataki kuwa na mke wala mtoto na kuwapa wengine tabu, huyo naye akikataa kuoa au kuolewa utasema hataki ustawi wa jamii, taifa wala uongozi bora?
Kwa nini mnataka kuwapangia watu maisha na hamtaki waishi kama wanavyotaka wao, kqenye mambo yao?
Mtu akisema hayapendi haya naisha, yamejaa magonjwa, shida , umasikini, na hata ukiwa tajiri ni matatizo tu kika simu unawaza kuulinda utajiri wako usiibiwe, na mwisho wake tunakufa tu wote, hivyo haoni point ya kuoa na kuzaa watoto kuwaleta kwenye dunia hii yenye shida, unawezaje kutaka kumlazimisha aoe na awe na watoto?
Kwa nini mnataka kuleta huu udikteta wa kijamii wa kupangiana maisha?
Kama unapenda kuoa si uoe wewe, kwa nini unamshikia bango na kumuuliziaulizia mwingine aoe kama ni lazima?
Kwani kuoa ni lazima?
Aaah sie malaika kabisa!Chanzo ni nyie
Nitakuokotea maweAaah sie malaika kabisa!
Mkuu me naona watu wengi hawataki kuwajibishwa, wanataka uhuru wao binafsi, ni sahihi lakini tukija katika level ya jamii na nchi kuna muda tutaingilia uhuru wako tuu utake usitakeUsipooa watakuuliza, ukioa watauliza kuhusu kupata mtoto , ukipata watoto watakutenga upambane na maisha yako
Sasa unapomuuliza mtu ataoa lini utajuaje huyu ni special case au si special case?Mkuu hiyo mifano uliyotoa ni special case lakini tunavyongelea mustakabali wa taifa Ndoa ni muhimu sana , ngoja nkupe mfano kuna nchi sahv zimeanza kuhamasisha watu wazae kwa kuhofia kupoteza uchumi na nguvu kazi ya baadaye
•Nchi kama japan, S.korea, Germany na Italy zina wazee wengi kuliko vijana mpaka serikali zao zinahamisha watu wazae kwa wingi kwa ajili ya kuongeza nguvukazi ya baadaye
•Serikali ya hizi nchi inatoa support za kifedha kwa ajili ya kuhamasisha watu wazae
•Nchi kama Russia inatoa (Mother's capital) kwa mama anayezaa watoto wawili na kuendelea
•China sera ya zamani ilikua ni mtoto mmoja, sahv wameruhusu watoto hadi watatu, hawajaishia hapo wamepunguza gharama shuleni na hospital kuhamasisha watu wazae zaidi
•India ni moja ya nchi yenye population kubwa, nafikiri unaona idadi kubwa ya inavyowasaidia kupiga hatua za kiuchumi
Paint yangu hapa ni kwamba ukiona hadi serikali ya nchi husika inahamasisha watu wazae bila kuhofia wanaingilia uhuru wa mtu binafsi basi jua kwamba hata swala la ndoa linavyohamasishwa watu wana angalia faida za baadaye, Kama tunataka ustawi bora wa jamii na nchi kwa ujumla lazima tuendelee kuhamasisha watu wafunge ndoa.
Hii hoja imetokana na wazo kwamba kuoa na kuzaa ni vitu vizuri mara zote.Mkuu me naona watu wengi hawataki kuwajibishwa, wanataka uhuru wao binafsi, ni sahihi lakini tukija katika level ya jamii na nchi kuna muda tutaingilia uhuru wako tuu utake usitake
Hatuna baya kabisa🤣Nitakuokotea mawe
Sasa mkuu unatolea mfano nchi tofauti na East AfrikaMkuu hiyo mifano uliyotoa ni special case lakini tunavyongelea mustakabali wa taifa Ndoa ni muhimu sana , ngoja nkupe mfano kuna nchi sahv zimeanza kuhamasisha watu wazae kwa kuhofia kupoteza uchumi na nguvu kazi ya baadaye
•Nchi kama japan, S.korea, Germany na Italy zina wazee wengi kuliko vijana mpaka serikali zao zinahamisha watu wazae kwa wingi kwa ajili ya kuongeza nguvukazi ya baadaye
•Serikali ya hizi nchi inatoa support za kifedha kwa ajili ya kuhamasisha watu wazae
•Nchi kama Russia inatoa (Mother's capital) kwa mama anayezaa watoto wawili na kuendelea
•China sera ya zamani ilikua ni mtoto mmoja, sahv wameruhusu watoto hadi watatu, hawajaishia hapo wamepunguza gharama shuleni na hospital kuhamasisha watu wazae zaidi
•India ni moja ya nchi yenye population kubwa, nafikiri unaona idadi kubwa ya inavyowasaidia kupiga hatua za kiuchumi
Paint yangu hapa ni kwamba ukiona hadi serikali ya nchi husika inahamasisha watu wazae bila kuhofia wanaingilia uhuru wa mtu binafsi basi jua kwamba hata swala la ndoa linavyohamasishwa watu wana angalia faida za baadaye, Kama tunataka ustawi bora wa jamii na nchi kwa ujumla lazima tuendelee kuhamasisha watu wafunge ndoa.
Kuoa ni mpango binafsi wasilete u dramaqueenMkuu me naona watu wengi hawataki kuwajibishwa, wanataka uhuru wao binafsi, ni sahihi lakini tukija katika level ya jamii na nchi kuna muda tutaingilia uhuru wako tuu utake usitake
Mtu wakikuona unakula vizuri unalala vizuri basi lazima wakuulize kuoa , hawataki uishi vizuri😅Kuna watu kibao wameoa na kuzaa kwa fashion kwa sababu jamii imewalazimisha.
Matokeo yake watu wengine , tofauti kabisa na wazazi hao, wanapata mzigo wa kulea na kusomesha.
Jamii ingewaacha hao wazazi wa kulazimishwa wawe huru pengine wasingeoa wala kuzaa na kuleta watoto duniani bila mpango.
Watu wanalazimisha watu wengine kuoa na kuzaa utafikiri watawasaidia kulea na kusomesha vile.
Wahaini nyieHatuna baya kabisa🤣