“Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

Pia mimi ninapitia hayo masaibu nina miaka 45 na sijaoa,kila nikienda mkoani huwa waniuliza "mwali utaleta lini",huwa nakosa cha kujibu mpaka sai nimeamua kutokwenda mkoani.
Mimi hainishangazi wewe kutokuoa hadi umri huu kinanishangaza ni hao wanaokuuliza mpaka umri huo kwamba utaoa lini wana akili gani?

Miaka 45 mtu anajiandaa kwenda kufa wewe usimshauri namna ya kujiandaa na yajayo ukamletee habari za kuzaa na kulea wajukuu?miaka 45 watu wanajukuu eti ndiyo kwanza umwambie mtu aoe?wana wazimu hao wanaokuuliza.
 
Kila mtoto huja na sahani yake jamani. Hebu ijazeni dunia, msiwategee wenzenu.
 
Ilitakiwa uunge mkono hoja!!

Ahahaha!enjoy ur weekend bibie!
 
You are the one who's into my business ....if you minded your business usingerukia comment yangu
Swali la utaoa/olewa lini mara nyingi linaibua hisia za hasira kwa mtu anaeulizwa hili swali sababu wengi ambao hawajaoa/olewa in their 30's sio kwamba wanapenda kuishia bila ndoa, watu wengi tuna struggle sana kupata wenza wa maana wa maisha.

Unampenda mtu ila yeye hakupendi, yule usiompenda yeye anakupenda, sasa una paralyze unashindwa kujua uchague yupi

Ukimpata unaempenda basi ana tabia ambazo unashindwa kuzivumilia

Hata kwenye stage ya kuanzisha mahusiano tu, watu wengi wanajiweka kwenye ule upande wa kupokea, na sio kutoa, mdada anakua amevutiwa na wewe ila akikuona anajifanya hajali, ili awe na power kwenye hio relationship, vivyo hivyo kwa wanaume mwanaume anapenda ila anashindwa kuweka effort ya kukuza mahusiano kwa kuogopa hasara Joanah Mallerina HAYA LAND HOV Silivian
 
Kuna umri ukifika hili swali huwezi kulikwepa na inabidi ukubaliane nalo huwezi kusema watu wakuache na maisha yako, katika hatua za maisha ya mwanadamu ndoa ni moja ya hatua muhimu sana. Ni vile siku hizi maadili yamepungua watu wanapuuzia
Sahihi kbsa mkuu
 
Ila Kiranga Bana😅
 
Detachment gives power ....lazima tujifanye hatuwataki mtufukuzie
 
Mkuu umeongea uhalisia tunasumbuliwa na ego, then watu wengi kukosa watu sahihi napo kunachelewesha kufanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…