Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Marahaba totoomambo mchuchu
Hujambo? Waendeleaje na raha za likizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahaba totoomambo mchuchu
kawaida tu. Ukikaa kwa kutulia busy na maisha, utakuja kugundua age is really just a number. Why bother with something u gat nothing to do about it??
leo graduuu, nategea hilo lipilauMarahaba totoo
Hujambo? Waendeleaje na raha za likizo?
Ahahahahah..ongeza tu mzee kuwasaidiaWazee tunajulikana kwa busara hizi. Nitaongeza nini sasa Mzee mwenzako ambaye katika umri alioweka mleta mada hakuniweka?
So wewe wa ⁹⁰sLabda wanaume, mama yangu ni rika hilo na anabehave kama mtu mzima.
Oya Madam Snoop anakuletea dharau.siachi jf ng'o
😁😁 subiri lako lifike 🎓leo graduuu, nategea hilo lipilau
Leo nmesalimiwa shkamoo na jamaa lina mindevu, nkaitikia marahaba (ila moyoni nkajisemea mmh hii sasa kuzeeshana bila sababu)Umejua kunifurahisha😂 yaan n mm mtupu, nawaza mbona huyu kama hatuja pishana sana yaan ni huzuni kwakweli
Mi sitoagi shkamoo ovyo ovyo hadi nione kweli huyu mzee kwa mwonekano.Mimi huwa nawasalimia watu wa 60’s kwa amani kabisa, hawa wengine kwakweli nashindwa. Nawauliza tu habari? Za kwako? Basi
Sasa kuna siku nikayakanyaga akaja mzee mmoja ofisini, yuko kwenye mid au late 50’s nikamwambia “Habari?”
Aiseeee alinichambaaaa, mpaka leo wenzangu wananitania!
Wengine ni miyeyusho, zaman ukimwona dogo anakusalimia mambo unaona anazingua, una mkazia ebu amkia, leo akikusalimia mambo unashukuru unaenda na flow, wale wazee waliokua wanakataa shikamoo nilikua naona waajabu ila leo nawaelewa. Kuna wengine ndo nuksi kabisa utaskia flan eeh mbona unazeeka haraka wananitiaga nuksi walee,Leo nmesalimiwa shkamoo na jamaa lina mindevu, nkaitikia marahaba (ila moyoni nkajisemea mmh hii sasa kuzeeshana bila sababu)
For real, mwanzo kila birthday nilikuwa nawaza sana, ila baadae nikajishangaa tu nakuwa proud na nina furaha ijapokuwa sikiwa na mafanikio kivile ila nilikuwa yu napata amani ya moyoYeah,sure
Bora wewe, mi nilishawahi hadi amkia wadogo zangu kisa hii miiliMimi huwa nawasalimia watu wa 60’s kwa amani kabisa, hawa wengine kwakweli nashindwa. Nawauliza tu habari? Za kwako? Basi
Sasa kuna siku nikayakanyaga akaja mzee mmoja ofisini, yuko kwenye mid au late 50’s nikamwambia “Habari?”
Aiseeee alinichambaaaa, mpaka leo wenzangu wananitania!
🤔🤔🤔watu laana Zina watafuna taratibuHii toa 19 is equal to…! Ah kudadadeki mtoto em salimiaa
Usipojikubali itakula kwakoFor real, mwanzo kila birthday nilikuwa nawaza sana, ila baadae nikajishangaa tu nakuwa proud na nina furaha ijapokuwa sikiwa na mafanikio kivile ila nilikuwa yu napata amani ya moyo
Nina miaka 60 ninajiona kama mtu mwenye umri wa miaka 35 umri si kitu chcochote ni namba umuhimu ni uwe na Afya nzuri ya kuweza kufanya kazi yoyote ile ya kuweza kukuingizia pesa.kawaida tu. Ukikaa kwa kutulia busy na maisha, utakuja kugundua age is really just a number. Why bother with something u gat nothing to do about it??
Ulitaka ufanye nini sasa, uwe na nyumba, gari, kampuni na familia 😁?....Nina 19 ila najiona mkubwa sana na sijafanya chochote cha maana na maisha yangu😢
Uliyopanga yalikua ndani ya uwezo wako au yalitegemea third part ili yatimie?Kuna muda napanic umri unaenda mambo yangu yanajaenda kama nilivyokua nikipanga, nilitaka nianze kuwa na familia(watoto wengi) ila bado sielewi, ila katika yote muhimu ni uhai🙏