Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

Mkuu upo vizuri aisee unajua sometimes kuna movies unakuwa nazo ila utamu wa story huujui mfano me nakiri kuna movies kati ya ulizozitaja hapa ninazo ila sikuwahi kujua story zake hivyo mkuu napenda kukwambia ukweli unakipaji cha uandishi hongera sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shukrani sana mkuu nimeimaliza escape room muda huu, bonge moja la muvi....story yake🙌 By the way Zoey kazidisha utamu wa muvi...
 
Labda ujui English na huweki subtitle ndo Mana unashindwa kuzielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu natamani mtu anisimuliee hii movie.kwa sababu naona majanga tu nikiangalia.

Mata watu wanarudi kinyume nyume wakitembeaa daah aiseee.

Ila hakuna mtu au mwalimu anauza CD akifunfisha mambo ya sayansi haya hasa space and time akiyazungumzia au mada mbalimbali za physics ?

Nipate hizo cd niskilize napenda sana kujifunza,nimeamini maisha yana raha ukiwa unajifunza vitu mbalimbali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…