Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Hahaaaa...tatizo hapa jamaa aisingeamini kama alipotezwa salama. Shida kubwa ya haya mambo ya roho hayathibitiki, hayaaminiki na hayajirudii. Mchawi akiua, ukimuambia arudie namna alivyofanya akaua hawezi.
We unaweza kurudia ndoto yako uliyoota usiku!?
 
Reactions: uth
Mchawi hajawai kufanya uchawi wenye faida kwa jamii, yeye ni mambo ya fitna, roho mbaya nk
 
Hivi inawezekana tukawa tunaingia marekani bila passport na visa? Yaani ni mwendo wa flash tu upo DC? Kama ndiyo hivyo kwanini isifike wakati watu wawe wanaenda nchi jirani watakavyo?
 
sasa kwanini hawakumpa " go ahead" daaahh miafrica sisi wajinga sana
 
Matunge alikuwa msanii
 
Reactions: uth
Duh hapa nimegain kitu aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…