Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Bado hujaufahamu uchawi katika uhalisia wake na muktadha mzima wa hii mada..Tafadhali rejea usome tena kwa utulivu
 
Yesu kutembea juu ya maji ile ni miujiza Sasa ile ndo ulinganisha na sanyansi. Lakini sio kulinganisha na Mambo ya kipumbavu ambayo hayana maana kweli ila ni kutesana tu na kutokuwa na maendeleo.
Nipe tofauti ya muujiza na uchawi
 
Ni kweli kabisa na nina ushuhuda wa jamaa fulani alienda kwa mganga kwenye kijiji kimoja na alitaka mganga aende naye Dar ili akazindike nyumba yake mzee akamwambia nyie tangulieni pandeni gari mimi nitakuja huko baadaye.siku huyo babu anaondoka hakupanda gari na walimkuta ameshafika yupo mlangoni anawasubiri.
 
Hakuna chenye upande mmoja chini ya jua..kila kitu kina kinyume chake
Sasa hivyo ndo ilivyo shetani kaiba maarifa ya miujiza na kuyabadilisha ili apate watu wake. Hafu kingine tunatumia miujiza mahali ambapo sayansi imeshindwa kwa kumuomba mungu pia hata kwa kujitamkia mwenyewe maana sayansi ni yakimwili. Mfano hivi unaweza ukaniambia Tanzania kutokua na corona ni uchawi maana sayansi iliishia kwenye one meter, lockdown sijui, nawa mikoni na sanitizer sijui, mda wote shule zimefunguliwa, masherehe yanapigwa Kama kawa hii yote kwa ile magufuli kumtanguliza mungu hata Kama ana imani Hana au anayo. Na kusema kwa mdomo kua tz hakuna corana tayari kaumba kitu halisi maana maneno huumba.
 
nimalizie na kusema tumia sayansi kusolve matatizo ya Mfano kwenda hospital na kazarika yakikushinda mkimbilie Muumba wako
 
Stori yako ni nzuri sana, lakini ni "Chai" fulani hivi.
Stori yako inafaa kwenye movies tu na vitabu vya kusadikika.
Kwa kifupi ni nzuri kwa burudani tu (entertainment).
Ki-fikra unapoelekea sasa, Mwisho wa siku utakuja kusema hata Spiderman yupo na ni ukweli kabisa.
 
nimalizie na kusema tumia sayansi kusolve matatizo ya Mfano kwenda hospital na kazarika yakikushinda mkimbilie Muumba wako
Exactly, kwa nini utishwe na ujinga na imani potofu (the so called uchawi) wakati unaamini kuwa yupo Mungu The Almighty !?
 
Ukinijibu hili utakuwa umefaulu kwenye nadharia yako ya SAYANSI
Ninini kinasababisha mawasiliano yetu hapa jukwaani?
Je ni simujanja?
Je ni mtandao wa simu?
Je ni app ya JF ama browser?
Je ni bundle?
Je ni software? (Uchawi)
Je ni ID yako?
Daaah hata ingekua necta ningekimbia hil swal
 
Daaah mkuu uko vzr
 
Kweli kabisa.uchawi ni
Kitu kingine kabisa
 
Huenda uchawi ndio chanzo cha maendeleo duniani! Mf. Anaetumia msukule analeta maendeleo na watu wanafurahi pasipo kujua
 
Tatizo uchawi mambo yake yote hufanyika gizani, na malengo yake ni kutesa watu wengine... Sayansi malengo yake ni kumrahisishia maisha binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…