Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Mnatapeliwa nyie mnafungulia tu mapepo milango ya kuwafanyia vitu vya ajabu......,huyo unaemuomba msaada mwenyewe katoka nduki alifunuliwa 3rd eye tarehe 28 November 2020 hadi Jf akaiona chungu kapotea.........nashangaa sana mnaoendelea kumuamini huyu mchawi uchwara
 
Huwezi kuwa dereva kama hujui kuendesha gari....huwezi kuendesha gari kama haina kimojawapo kati ya hivi
Funguo
Matairi
Mafuta
Engine nknk
Hayo mambo ya kuruka na ungo tayari ni uchawi...labda sema hivi unataka kuwa mwanga tuu..
Umerudi kuwadai ada yako ma masta waliokufundisha uchawi uchwara
 
Acha uongo
 

Sorry sijui hili Illinipitaje...je umeshapata jibu.?
 
Sorry sijui hili Illinipitaje...je umeshapata jibu.?
ndugu Mshana Jr jana kuamkia leo nimeota nimekufaa. Kuna mtu mmoja sikujua ni nan alinikuta nimelala kwenye mkekaa akanikimbia akaniambia ww si umekufaa na nilipo toka huko wanaa andaa mazishi yakoo. lol Nafsi yangu ikawa inatanga tanga dunian kafla nikastukaa nikategemea nijikute kwenye jeneza kama quruani inavo semaa kumbe niko kwa bedi.maana akee nn hii?
 
Mmh...hizi ndoto za kifo hizi hebu muda
 
No 2 ni elimu ya darasani na kivitendo kwa waliosoma elimu ya uganga wanaijua.Lipo somo la kuingia mwilini mwa mgonjwa na kuyasoma mawazo yake then unatoka kisha unamueleza shida yake baada ya kusoma hitaji lake.
 
No 2 ni elimu ya darasani na kivitendo kwa waliosoma elimu ya uganga wanaijua.Lipo somo la kuingia mwilini mwa mgonjwa na kuyasoma mawazo yake then unatoka kisha unamueleza shida yake baada ya kusoma hitaji lake.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mshana Jr we si ulisemaga umeacha haya masuala,sasa hizi mada za nini tena?!muone na mawani yake yale😡

Anyway,niliwahi kukaa na mtu ana macho ya hivyo, kakitazama chakula changu tu aisee niliumwa tumbo wiki mbili,dawa hazifanyi kazi,nikaja kuponea na mafuta ya mzeituni aisee,nilipokunywa tu,tumbo linatoa upepo nusu saa nzima kama tairi inapata pancha ila ndio uzima ukarudi😤

Yule kijana alinisumbua sana alikuwa mfanyakazi wangu wa ofisini.Alikuwa ana jicho lake fulani hivi akitazama kitu basi panaharibika.
Anaweza kukuambia kitu na kinatokea.Alikuwa anatazama angani anaona kimondo kinashuka,kama kinaelekea upande wako basi una balaa na kweli linatokea.
Nikastuliwa na wasamaria wema,nikamfanyia uchunguzi nikajiridhisha.
Nikatafuta wazee wa dua,tukapiga dua zetu wiki mbili tu,nikaimbaimba zaburi zangu palee,aliaga mwenyewe kaacha kazi na mshahara kauacha,nikitaka kumtumia hataki kupokea hela yangu.😂

Sijui ndio zongo lile,maana lile jicho lake limenitesa sana,anakutazama unajikuta mlango unakubana vidole puuu,hapo kuna kitu kdogo tu mmepishana.

Aisee wakerewe mna matatizo sana nyie watu khaa!😏
 
muone na mawani yake yale[emoji35]! Hahahahahahaaaa... Umeangalia ni mada ya lini Lakini?
Huyo kijana alikupiga zongo na matibabu yake yalikuwa dawa inaitwa makata
 
muone na mawani yake yale[emoji35]! Hahahahahahaaaa... Umeangalia ni mada ya lini Lakini?
Huyo kijana alikupiga zongo na matibabu yake yalikuwa dawa inaitwa makata
Watu wachawi sana hii bongo aisee!Ukisimuliwa unaweza ona masikhara ila ukikutana navyo vinasumbua mno.
Hivi zongo ndio evil eye au kuna uchawi mwingine unaosababisha evil eye?mtu mwenye mapepo hawezi kuwa na evil eye?yaani akitazama kitu tu anasababisha uharibifu?
 
Mapepo ni tofauti kabisa na jicho la ibilisi
 
How?!naomba shule fupi kidogo maana nimekutana sana na hili jambo kwenye real life.Ni vema kulijua japo kwa uchache mkuu [emoji120]
Zongo ni aina ya ushirikina wa kutumia macho ambao mtu huamua kuumiliki na hauna zaidi sana ya kuvimbisha tumbo, kuumiza tumbo au kukifanya chakula kisiive na kukosa ladha kabisa
Pepo ni roho ambalo humuingia mtu na kumfanya afanye mambo kinyume na kawaida
 
🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…