[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mara paaaa mzazi analeta kitoweo cha nyama ya paja la mtu.Yote yanawezekena pia ila katika hatua za udogoni ukiwa mkubwa utaona vitu vinafanyika nyumbani ama vinafanywa na mzazi ambavyo havina majibu
Oh; Pole. Lakini tupo wengi tunaofuatilia. Hutakaa au haitatokea kamwe ukawaridhisha watu wote. Komaa ivo-ivo.Kuna ombwe kubwa la kiufahamu na upotoshaji wa kutosha kuhusu hii elimu... Na hata sisi wengine tunapojaribu kuidadavua tunaishia kupewa majina mabaya
Mkuu; Najaribu: Ithibati = Physical recognition (kinachoweza kushikika,kuonekana, kuhisiwa kwa vionjo (The 5 senses) vya mwili au utambuzi wazi. (I stand to be corrected).Ithibati ndo nini mkuu.
Kweli mkuu, natokaje hapo maana hadi naogopa kutembea na hela mfukoni.Mmh kuna jambo si la kawaida hapo.....
Asante mkuu.Mkuu; Najaribu: Ithibati = Physical recognition (kinachoweza kushikika,kuonekana, kuhisiwa kwa vionjo (The 5 senses) vya mwili au utambuzi wazi. (I stand to be corrected).
🙂Asante mkuu.
Nadhan umeshapewa ushauri,
Kuna mtu humu jf jina limenitoka,alipandisha uzi hapa jf kuwa mshana Jr ni kibaraka wa shetani humu jf,nilicheka sana hivi ule uzi uliuona mwenyewe?[emoji23] [emoji23] [emoji23]long time no see you brother
Ila pia watoto wengi wa WACHAWI kichwa ni butu mno. Wengi hawa cross secondary na huwa hata mikoa yao kielimu inashika mkia. Kumbukeni mikoa kama Tanga, Lindi na Mtwara matokeo ya NECTA miaka iliyopita. Bila kusahau Pemba. Msinipige makofi. Mshana Jr atanitetea.Kwanza kwa taarifa yako benki zinaibiwa sana ila kwakuwa kunakuwa hakuna palipovunjwa watasemaje wameibiwa?
Pili benki huwa zinajitahidi sana kuficha wizi unaotokea ili kuwapa wateja imani ya usalama wa pesa zao
Tatu Mchawi wa kweli hahitaji kwenda kuiba pesa kwakuwa mahitaji anayotaka anayapata bila hata pesa
NNE Mchawi hahitaji kwenda NECTA kuiba majibu... Kama akihitaji mwanae afaulu atamletea majibu kwa njia ya Bluetooth ya kilozi au ata insert majibu automatically kwenye medula yake
Kwa vile ushaleta ukabila basi tuende kikabila,jiwe anatoka ukanda gani?halafu ambatanisha na copy ya vyeti vyake vya elimu orginal tuvione.Ila pia watoto wengi wa WACHAWI kichwa ni butu mno. Wengi hawa cross secondary na huwa hata mikoa yao kielimu inashika mkia. Kumbukeni mikoa kama Tanga, Lindi na Mtwara matokeo ya NECTA miaka iliyopita. Bila kusahau Pemba. Msinipige makofi. Mshana Jr atanitetea.
Hahaha mkuu hapo nimegusa mikoa michache inayoongoza kwa uchawi kwa kuanzia. Kulikuwa na thread ya mikoa lozi huku ndani labda waifukue wanaojua jinsi ya kufukua. Kanda ya ziwa pia ilikuwepo ikiwemo Shinyanga. Pia mikoa kama Kigoma na Rukwa.Kwa vile ushaleta ukabila basi tuende kikabila,jiwe anatoka ukanda gani?
Hujajibu swali,basi tuambie kanda gani hakuna uchawi?Hahaha mkuu hapo nimegusa mikoa michache inayoongoza kwa uchawi kwa kuanzia. Kulikuwa na thread ya mikoa lozi huku ndani labda waifukue wanaojua jinsi ya kufukua. Kanda ya ziwa pia ilikuwepo ikiwemo Shinyanga. Pia mikoa kama Kigoma na Rukwa.