Uchawi uko kila mahali ila kuna kunakoongoza kama ilivyo darasani wanaongoza na wengine wanafuata in ascending order.Hujajibu swali,basi tuambie kanda gani hakuna uchawi?
Kwa mujibu wa hoja yako ya ukanda kwamba kanda yenye uchawi mwingi ni vilaza unaonaje tukateua rais anaetoka kwenye hiyo kanda ambayo ww unasema haina uchawi mwingi?je jiwe anatoka kanda gani?Uchawi uko kila mahali ila kuna kunakoongoza kama ilivyo darasani wanaongoza na wengine wanafuata in ascending order.
Fanya hivi chukua noti tano kisha baadhi zichane vichungi, yaani kule kwenye pembe. Ondoa kabisa... Kama ni ishu ya ushirikina hazitapotea tenaKweli mkuu, natokaje hapo maana hadi naogopa kutembea na hela mfukoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna wakati niliyajua matabano ya zongo ilibidi tufundishwe maana enzi hizo watoto wa Dar mkifika bush asubuhi mnacheza mkiwa mmevaa ndala vibibi vinashindana kuwarushia mazongo
Ule utaalamu ningeuhifdhi sasa hivi tungepiga pesa bro Mshana Jr
Anaitwa maishapopote [emoji3] [emoji3] [emoji3].... Nilicheka sanaKuna mtu humu jf jina limenitoka,alipandisha uzi hapa jf kuwa mshana Jr ni kibaraka wa shetani humu jf,nilicheka sana hivi ule uzi uliuona mwenyewe?
Ni sahihi kabisa... Mchawi hahitaji elimu ya mzungu... Ili aifanyie nini sasaIla pia watoto wengi wa WACHAWI kichwa ni butu mno. Wengi hawa cross secondary na huwa hata mikoa yao kielimu inashika mkia. Kumbukeni mikoa kama Tanga, Lindi na Mtwara matokeo ya NECTA miaka iliyopita. Bila kusahau Pemba. Msinipige makofi. Mshana Jr atanitetea.
Nadhani Zongo halizuiliki ila linatibika... Ule utaalam ni kiboko unakaa machoni. Na transmission ya ni eye to eye contactMshana Jr kuna dawa ya kuzuia zongo? Nilishapigwa mbili sitasahau nilivyoteseka. Ndani ya muda mfupi tumbo liliuma sana na kuanza kuvimba. Wazee walinipa mizizi nikatafuna na kutapika kile chakula kizimakizima. Ilikuwa supu na nyama. Yaani alifika mama jirani akakuna kichwani tu sikuchukua round.
@bobwe2 Shauri yako...! [emoji40] [emoji40]Kwa mujibu wa hoja yako ya ukanda kwamba kanda yenye uchawi mwingi ni vilaza unaonaje tukateua rais anaetoka kwenye hiyo kanda ambayo ww unasema haina uchawi mwingi?je jiwe anatoka kanda gani?
Mkuu; ushauri uliotolewa ni sawa. Ndio maana wamesema Usilale chali. Jinamizi ni ndoto sumbufu yaani utaota unakosa pumzi, unakabwa au unaota mtu mzito kakukalia shingoni/kifuani au umesongwa na kitu kinachokufanya usipumue/unakosa hewa vizuri na kuishiwa nguvu. Maelezo ya kisayansi kuhusu kisababishi ni kwamba:Nadhan umeshapewa ushauri,
Swali langu ni kwamba,
Jinamizi ni linini?
Husababishwa na nini!?
Sayansi ya kiza ama ya roho isiyo na ithibati za kuthibitisha katika ulimwengu wa mwili
mihangaiko kidogo maeneo ya kwa kagame na kwa kongoman[emoji23] [emoji23] [emoji23]long time no see you brother