Unapokataliwa na mwanamke usiumie wala kujiona hufai. Kisaikolojia Wanawake wamebobea kufanya bad decisions

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo.

Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea kwenye kufanya bad decisions, yaani kutoa boko. Kucheza fyongo.
Sababu za kisaikolojia ni kwamba wanawake ni emotional entity. Wanaendeshwa na mihemko bila kutumia akili. Au tuseme hawapendelei kutumia Akili.

Akili inakupa reality. Uhalisia na ukweli. Sasa wanawake hawapendi Ukweli na hawautaki kabisa.
Ndio maana mwanamke mwenye kipilipili atafanya juu chini ajiwekee manywele hata bandia ili ajidhanie yeye hana kipilipili. Emotional anajiona hana kipilipili, ananywele za kizungu. Lakini kiuhalisia anakipilipili kikali.
Emotional mwanamke akipaka Makeup anajiona mzuri ila kiuhalisia hana uzuri wowote.

Kiumbe chochote ambacho kipo emotional. Kina asilimia tisini ya kufanya maamuzi mabovu. Kutoa boko.

Kisaikolojia, mwanamke hajiamini. Na hii yote ni kutokana na asili yao. Kiumbe kikishakuwa emotional entity kikawaida hakiwezi kujiamini.

Ndio maana unaambiwa usimsikilize mwanamke.
Unaambiwa mwanamke asiwe kichwa cha familia.
Mwanamke asifanye maamuzi y mwisho.
Kwa sababu mwanamke anafanya maamuzi kulingana na hisia zake zinavyomuendesha muda huo.

Kiasili mwanamke halaumiwi na hapaswi kulaumiwa kwa sababu yeye sio mtoa maamuzi wa mwisho. Mwanaume ndiye mtoa maamuzi wa mwisho.

Ndio maana sisi Watibeli tunajua yakuwa. Ukiona nyumba imedondoka, familia fulani imetetereka basi chanzo sio mwanamke. Bali mwanaume kwa sababu mwanaume ndiye mtawala na ndiye kichwa, yeye ndiye anatakiwa atoe maamuzi ya mwisho.

Mwanamke anapokushauri jambo fulani. Ukalitenda. Jambo hilo likienda kombo ushauri huo utakuwa ulikuwa Wako sio wa mwanamke. Kwa sababu mwanamke sio jukumu lake kufanya maamuzi.

Binti anayelelewa na wazazi,mwenye jukumu la kumfanyia maamuzi na kumshauri ni mzazi wake. Hasa mzazi wa kiume.
Binti ambaye yupo karibu na Baba yake. Akamsikiliza Baba yake. Ni rahisi sana kufanikiwa na kufanya maamuzi sahihi.

Binti za Tibeli, Baba zao ni marafiki zao. Na hiyo huwafanya kuwa wanawake wanaoweza kudhibiti mihemko yao. Na suala la maamuzi hawafanyi wao bila kufanya consultation na Baba au mwanaume fulani wanayemuamini.

Ukiona mwanamke yeyote ambaye ni superwoman, mwenye nguvu popote, iwe kiuchumi, kihuduma, kisiasa au jambo lolote. Lazima nyuma kuna mwanaume fulani anayemuongoza. Huyo mwanaume anaweza kuwa Baba yake, Kaka, Mume au mwanaume fulani hivi.
Unaweza kufuatilia katika nchi yetu au mtaani hapo. Utaona hilo.

Mwanamke hawezi kufanikiwa akiwa na mtazamo wenye chuki na wanaume. Mjuaji. Hilo halipo.
Wanawake ninaowajua waliokuwa wanafanya vizuri kiakademikia na kisiasa kampani yao ilikuwa ni wanaume.

Tukirudi kwenye hoja.

Ikitokea mwanamke amekukatalia.
Hilo lisikuumize wala lisikufanye ujione huna thamani.
Kwa sababu mara nyingi sana wanawake ni mahiri na wabobevu kwa kufanya maamuzi mabovu na mabaya sana.

Ndio maana unaweza kukataliwa na mwanamke alafu huyohuyo mwanamke ukamkuta anatoka na vijana unaowaona wa hovyo.
Ndio akili zao hizo.

Kamwe usijilinganishe na upeo na akili za wanawake. Kwa sababu mawazo na maamuzi yao ni low standards, yanaviwango hafifu.

Wanawake wengi waliowahi kunipigia simu kuhusu changamoto wanazozipitia kuhusu mahusiano. Huwaga nawashauri ili wapate mwanaume aliyenyooka itampasa atafute rafiki wa kiume au kaka ambaye atakuwa anamuangalia, na kuwa kama kochi wake. Kuona ambavyo yeye haoni. Kufikiri vile ambavyo hafikirii.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Sio kwamba wanakataliwa, ni fursa ya mwanamke kupata nafasi ya kufanya maamuzi juu ya hayo mahusiano

Kawaida mwanamke wa kawaida, anapata mitongozo zaidi ya mitatu ama zaidi

Lakini atawezaje kujua aliyesahihi katika hao wote

Zamani tuliweza kusubiri jibu hata miaka 2, wakati huo umeshampelekea barua kadhaa za kuandika na mkono, maua pamoja na picha nzuri uliyopiga ukiwa na afro kubwa kichwani 🤗

Peaneni muda wa kusubiriana

Ila wakati huo pia, msiombane hela (Ke)
 
Wasipeane hela? Wanawake hawatakubali biashara kichaa hiyo
 
UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo.

Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea kwenye kufanya bad decisions, yaani kutoa boko. Kucheza fyongo.
Sababu za kisaikolojia ni kwamba wanawake ni emotional entity. Wanaendeshwa na mihemko bila kutumia akili. Au tuseme hawapendelei kutumia Akili.

Akili inakupa reality. Uhalisia na ukweli. Sasa wanawake hawapendi Ukweli na hawautaki kabisa.
Ndio maana mwanamke mwenye kipilipili atafanya juu chini ajiwekee manywele hata bandia ili ajidhanie yeye hana kipilipili. Emotional anajiona hana kipilipili, ananywele za kizungu. Lakini kiuhalisia anakipilipili kikali.
Emotional mwanamke akipaka Makeup anajiona mzuri ila kiuhalisia hana uzuri wowote.

Kiumbe chochote ambacho kipo emotional. Kina asilimia tisini ya kufanya maamuzi mabovu. Kutoa boko.

Kisaikolojia, mwanamke hajiamini. Na hii yote ni kutokana na asili yao. Kiumbe kikishakuwa emotional entity kikawaida hakiwezi kujiamini.

Ndio maana unaambiwa usimsikilize mwanamke.
Unaambiwa mwanamke asiwe kichwa cha familia.
Mwanamke asifanye maamuzi y mwisho.
Kwa sababu mwanamke anafanya maamuzi kulingana na hisia zake zinavyomuendesha muda huo.

Kiasili mwanamke halaumiwi na hapaswi kulaumiwa kwa sababu yeye sio mtoa maamuzi wa mwisho. Mwanaume ndiye mtoa maamuzi wa mwisho.

Ndio maana sisi Watibeli tunajua yakuwa. Ukiona nyumba imedondoka, familia fulani imetetereka basi chanzo sio mwanamke. Bali mwanaume kwa sababu mwanaume ndiye mtawala na ndiye kichwa, yeye ndiye anatakiwa atoe maamuzi ya mwisho.

Mwanamke anapokushauri jambo fulani. Ukalitenda. Jambo hilo likienda kombo ushauri huo utakuwa ulikuwa Wako sio wa mwanamke. Kwa sababu mwanamke sio jukumu lake kufanya maamuzi.

Binti anayelelewa na wazazi,mwenye jukumu la kumfanyia maamuzi na kumshauri ni mzazi wake. Hasa mzazi wa kiume.
Binti ambaye yupo karibu na Baba yake. Akamsikiliza Baba yake. Ni rahisi sana kufanikiwa na kufanya maamuzi sahihi.

Binti za Tibeli, Baba zao ni marafiki zao. Na hiyo huwafanya kuwa wanawake wanaoweza kudhibiti mihemko yao. Na suala la maamuzi hawafanyi wao bila kufanya consultation na Baba au mwanaume fulani wanayemuamini.

Ukiona mwanamke yeyote ambaye ni superwoman, mwenye nguvu popote, iwe kiuchumi, kihuduma, kisiasa au jambo lolote. Lazima nyuma kuna mwanaume fulani anayemuongoza. Huyo mwanaume anaweza kuwa Baba yake, Kaka, Mume au mwanaume fulani hivi.
Unaweza kufuatilia katika nchi yetu au mtaani hapo. Utaona hilo.

Mwanamke hawezi kufanikiwa akiwa na mtazamo wenye chuki na wanaume. Mjuaji. Hilo halipo.
Wanawake ninaowajua waliokuwa wanafanya vizuri kiakademikia na kisiasa kampani yao ilikuwa ni wanaume.

Tukirudi kwenye hoja.

Ikitokea mwanamke amekukatalia.
Hilo lisikuumize wala lisikufanye ujione huna thamani.
Kwa sababu mara nyingi sana wanawake ni mahiri na wabobevu kwa kufanya maamuzi mabovu na mabaya sana.

Ndio maana unaweza kukataliwa na mwanamke alafu huyohuyo mwanamke ukamkuta anatoka na vijana unaowaona wa hovyo.
Ndio akili zao hizo.

Kamwe usijilinganishe na upeo na akili za wanawake. Kwa sababu mawazo na maamuzi yao ni low standards, in fact,
Kwa maoni yangu,
mwanaume kamili lazima uwe na experience kubwa zaidi na ya kutosha sana ya kukataliwa zaidi na wanawake kuliko kukubaliwa.

Na hiyo ni kitu ya maana sana ili kuondokana na maamuzi mabaya kama ya ambao akikataliwa tu mara moja anajitia kitanzi mwenyewe au anampiga kisu aliemkataa.

Na watu wa aina hii ndio hua hata na maamuzi nonsense sana kwenye ndoa zao 🐒
 
Kwa maoni yangu,
mwanaume kamili lazima uwe na experience kubwa zaidi na ya kutosha sana ya kukataliwa zaidi na wanawake kuliko kukubaliwa.

Na hiyo ni kitu ya maana sana ili kuondokana na maamuzi mabaya kama ya ambao akikataliwa tu mara moja anajitia kitanzi mwenyewe au anampiga kisu aliemkataa 🐒

Wanaume wanaokataliwa wanaojitia kitanzi ni wale waliotoa kila kitu kwa mwanamke
 
Wasipeane hela? Wanawake hawatakubali biashara kichaa hiyo
Kabla hajaolewa, binti anapaswa kuhudumiwa na wazazi wake

Ikiwa ameshaanza kujitegemea, na umetupia mistari, hatakiwi kukuomba hela hadi utakapomweka ndani

Iwapo utamtupia mistari akakwambia umpe muda afikirie jibu lako, hatakiwi kukuomba hela

Ila ikitokea mpo kwenye urafiki, na ukawa umepata naye nafasi ya kuamka naye kitanda kimoja, unapaswa umpe hela ya sabuni sio kuanza kumtunza wakati hamkai pamoja
 
Wanaume wanaokataliwa wanaojitia kitanzi ni wale waliotoa kila kitu kwa mwanamke
huenda wanakua wamesahau ile mbinu ya kibiblia ya kuishi nao kwa akili.

Kwasababu,
mwanaume kamili na muerevu
huwekeza upendo na maisha yake ya hali na mali kisayansi sana moyoni mwake kwenye maeneo kadhaa ya uhakika wa maisha yake ya baadae. ikiwa eneo fulani alilioweka wazi na linalojulikana na jamii nzima mambo itaharibika:1Head:
 
Ukwl mtupu mkuu,, ukisema uongo kwa mwanamke ndy ukweli ila ukiwa mkweli ndy mwongo..

Tujifunze kuwa wadanganyifu kama unataka kukubalika kwa kila unayetongoza.
 
Ndio maa
UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo.

Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea kwenye kufanya bad decisions, yaani kutoa boko. Kucheza fyongo.
Sababu za kisaikolojia ni kwamba wanawake ni emotional entity. Wanaendeshwa na mihemko bila kutumia akili. Au tuseme hawapendelei kutumia Akili.

Akili inakupa reality. Uhalisia na ukweli. Sasa wanawake hawapendi Ukweli na hawautaki kabisa.
Ndio maana mwanamke mwenye kipilipili atafanya juu chini ajiwekee manywele hata bandia ili ajidhanie yeye hana kipilipili. Emotional anajiona hana kipilipili, ananywele za kizungu. Lakini kiuhalisia anakipilipili kikali.
Emotional mwanamke akipaka Makeup anajiona mzuri ila kiuhalisia hana uzuri wowote.

Kiumbe chochote ambacho kipo emotional. Kina asilimia tisini ya kufanya maamuzi mabovu. Kutoa boko.

Kisaikolojia, mwanamke hajiamini. Na hii yote ni kutokana na asili yao. Kiumbe kikishakuwa emotional entity kikawaida hakiwezi kujiamini.

Ndio maana unaambiwa usimsikilize mwanamke.
Unaambiwa mwanamke asiwe kichwa cha familia.
Mwanamke asifanye maamuzi y mwisho.
Kwa sababu mwanamke anafanya maamuzi kulingana na hisia zake zinavyomuendesha muda huo.

Kiasili mwanamke halaumiwi na hapaswi kulaumiwa kwa sababu yeye sio mtoa maamuzi wa mwisho. Mwanaume ndiye mtoa maamuzi wa mwisho.

Ndio maana sisi Watibeli tunajua yakuwa. Ukiona nyumba imedondoka, familia fulani imetetereka basi chanzo sio mwanamke. Bali mwanaume kwa sababu mwanaume ndiye mtawala na ndiye kichwa, yeye ndiye anatakiwa atoe maamuzi ya mwisho.

Mwanamke anapokushauri jambo fulani. Ukalitenda. Jambo hilo likienda kombo ushauri huo utakuwa ulikuwa Wako sio wa mwanamke. Kwa sababu mwanamke sio jukumu lake kufanya maamuzi.

Binti anayelelewa na wazazi,mwenye jukumu la kumfanyia maamuzi na kumshauri ni mzazi wake. Hasa mzazi wa kiume.
Binti ambaye yupo karibu na Baba yake. Akamsikiliza Baba yake. Ni rahisi sana kufanikiwa na kufanya maamuzi sahihi.

Binti za Tibeli, Baba zao ni marafiki zao. Na hiyo huwafanya kuwa wanawake wanaoweza kudhibiti mihemko yao. Na suala la maamuzi hawafanyi wao bila kufanya consultation na Baba au mwanaume fulani wanayemuamini.

Ukiona mwanamke yeyote ambaye ni superwoman, mwenye nguvu popote, iwe kiuchumi, kihuduma, kisiasa au jambo lolote. Lazima nyuma kuna mwanaume fulani anayemuongoza. Huyo mwanaume anaweza kuwa Baba yake, Kaka, Mume au mwanaume fulani hivi.
Unaweza kufuatilia katika nchi yetu au mtaani hapo. Utaona hilo.

Mwanamke hawezi kufanikiwa akiwa na mtazamo wenye chuki na wanaume. Mjuaji. Hilo halipo.
Wanawake ninaowajua waliokuwa wanafanya vizuri kiakademikia na kisiasa kampani yao ilikuwa ni wanaume.

Tukirudi kwenye hoja.

Ikitokea mwanamke amekukatalia.
Hilo lisikuumize wala lisikufanye ujione huna thamani.
Kwa sababu mara nyingi sana wanawake ni mahiri na wabobevu kwa kufanya maamuzi mabovu na mabaya sana.

Ndio maana unaweza kukataliwa na mwanamke alafu huyohuyo mwanamke ukamkuta anatoka na vijana unaowaona wa hovyo.
Ndio akili zao hizo.

Kamwe usijilinganishe na upeo na akili za wanawake. Kwa sababu mawazo na maamuzi yao ni low standards, yanaviwango hafifu.

Wanawake wengi waliowahi kunipigia simu kuhusu changamoto wanazozipitia kuhusu mahusiano. Huwaga nawashauri ili wapate mwanaume aliyenyooka itampasa atafute rafiki wa kiume au kaka ambaye atakuwa anamuangalia, na kuwa kama kochi wake. Kuona ambavyo yeye haoni. Kufikiri vile ambavyo hafikirii.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Ndio maana Mzee wa Imani, Ibrahim alikauka kuhusu swala la kumtoa Kafara Isaka,pangechimbika!
 
Back
Top Bottom