Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Maoni yake na yapanguliwe, Sema usiogope!Eti wanawake hawapendelei kutumia akili...
Upo sawa kweli?
Maoni yake na yapanguliwe, Sema usiogope!Eti wanawake hawapendelei kutumia akili...
Upo sawa kweli?
Ndio maa
Ndio maana Mzee wa Imani, Ibrahim alikauka kuhusu swala la kumtoa Kafara Isaka,pangechimbika!
Wanawake wengi ,akiri zao ndogo sana..ni hayo tuuu.
Yupo sawa,mwanamke hana akiri .anafanyia kaza anachoambiwa na kusikia kwa wakati huoEti wanawake hawapendelei kutumia akili...
Upo sawa kweli?
Ukwl mtupu mkuu,, ukisema uongo kwa mwanamke ndy ukweli ila ukiwa mkweli ndy mwongo..
Tujifunze kuwa wadanganyifu kama unataka kukubalika kwa kila unayetongoza.
Eti wanawake hawapendelei kutumia akili...
Upo sawa kweli?
Nyeto ndyo mkombozi
Mwanamke ukimuambia ,huna nyumba ,huna godoro,huna kiwanja huna hata mia haumvui chupi.ila
Asbh mpigie supu ya buku 5
Mchana buku 5
Jion buku 5
Na Maneno ya uongo
Kwa siku mbili mfululizo .unakula mzigo
Mwanamke hapendi ukweli