Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Mwaka huu 2024 mwezi wa nne.
Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka.
Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana.
Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku nilikua na mtumia pesa ya matumizi.
Huyo dada alinieleza kua ana Watoto 3.
Kwa kua nilimpenda nilikuabariana nae,kua ntampenda yeye na Watoto wake
Baada mda kusogea Kodi inatakiwa kulipwa. Mi nikaamua Kutafuta pesa nikanunua Kiwanja mwanzo niliwaza niandike Jina la yule mwanamkea maana nilinunua Kiwanja Ili nijenge huyo mwanamke apate Sehemu ya Kuishi yeye na Watoto.
Kwa kua nilitoa pesa kununua kiawanja na pesa ingine nikanunua matofari ya ujenzi huduma kidogo ilipungua kwa yule mwanamke.
Alibadilika na kua kauli mbovu na maneno ya dharau, unanitumia 5000/=, ya kula. Hiyo pesa ni ndogo sana mi nataka mwanaume ane ni huduma kwa kila kitu.
Nilimueleza pesa nyingi nimetia ktk nyumba mtakayo ishi wewe na Watoto pia kuepuka nyumba za kupanga.
Bado mwanamke alikua mkali na hata mawasiliano au ukimpgigia simu haupokei.
Kiwanja nimenunua kwa ajiri yake hilo sikumueleza, na hata Jina la hati ya pale nilioandika Jina lake, ila sikumueleza chochote kua nyumba nimeijenga kwa jina lake.
nilichoamua nilikaa kimya nikaamua kutulia, maana nimemjari mtu Asie na Future na Mimi.