Unapomuomba namba mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake anakupotezea mpaka unajisemea

Unapomuomba namba mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake anakupotezea mpaka unajisemea

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake

Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀

Mwanamke akiwa anaenda au anatoka kwa mwanaume ampendaye ndugu yangu achana naye hatakusikiliza anakuona msumbufu tu kama ana headphones anazivaa asikusikie😀
1734710974781.jpg
 
Back
Top Bottom