assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Mbona humu huwa mnatamka misukule ya Lumumba
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
SidhaniNEC ita mwita huyu?
Mbona humu huwa mnatamka misukule ya Lumumba
Hilo ni tusi, msukule ni mtu aliechukuliwa kichawiMsukule huendeshwa kwa remote kutoka ubelgiji
Huwezi kutetea uchoko ukiwa na akili timamuHilo ni tusi, msukule ni mtu aliechukuliwa kichawi
Nadhani angeusema huo ukweli ingetosha watu wangeelewa anacuokusudia lakin kutukana tenaHiyo yote ni mipango ya Mungu. Huyu polepole yupo ili litimie lililokusudiwa. Mungu amemuweka ili afanye maudhi, akere watu, apandishe hasira ili wapigakura wafanye maamuzi yaliyosahihi.
Kumbuka kutukana hakuongezi kura za anayetukanwa, huenda zitamnufaisha anayetukanwa.
Polepole anamharibia mgombea wa CCM badala ya kumsaidia. Kama hawajaweka msemaji mwingine, CCM wataendelea kupoteza.
Baba yako anaendeshwa kutoka kwenye tobo la ......M a.....yakoMsukule huendeshwa kwa remote kutoka ubelgiji