Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili liko wazi mkuu hawezi kukemewa na NEC.Na hutasikia NEC wala msajili akikemea hili..
Nchi ndio imeondoka mkuu , posho ndio zimekwenda na majiHuwezi kutetea uchoko ukiwa na akili timamu
NEC ni ya chatoNEC ita mwita huyu?
wala hatukuhangaika nayeKuna yule marehemu aliita watu Wapumbavu... ccm wajinga ni wengi
Unamuonea tu Polepole hoja hana atasema nini sasa madaraja?Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Kwani ni mgombea?NEC ita mwita huyu?
Wewe ni CCM uliyeasi. Huna haja ya kujitambulisha, nimekufahamu hata kabla sijajiunga na jukwaa hiliNaomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Kwa hiyo kwa huu uchoko wako hapa, ina maanisha na wewe ni msukule na huna akili timamu? (Sorry nilikua sijaangalia jina lako?!)Huwezi kutetea uchoko ukiwa na akili timamu
Tulia wewe bintiMsukule huendeshwa kwa remote kutoka ubelgiji
Ccm haiwezi kupoteza weweeeeHiyo yote ni mipango ya Mungu. Huyu polepole yupo ili litimie lililokusudiwa. Mungu amemuweka ili afanye maudhi, akere watu, apandishe hasira ili wapigakura wafanye maamuzi yaliyosahihi.
Kumbuka kutukana hakuongezi kura za anayetukanwa, huenda zitamnufaisha anayetukanwa.
Polepole anamharibia mgombea wa CCM badala ya kumsaidia. Kama hawajaweka msemaji mwingine, CCM wataendelea kupoteza.
Bado unaongeza matusi nduguHuwezi kutetea uchoko ukiwa na akili timamu
Ni tabia ya watu walioshindwa hoja kuzua viroja.@Kiranga anaziita ad hominen attacks