mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,284
- 1,221
Mbona wewe ni choko?Huwezi kutetea uchoko ukiwa na akili timamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe ni choko?Huwezi kutetea uchoko ukiwa na akili timamu
Usitetee ujinga wa viongozi wako, Taifa zima limesikia sasa mnapata faida gani?Mbona humu huwa mnatamka misukule ya Lumumba
Uko sawa msukule..Hilo ni tusi, msukule ni mtu aliechukuliwa kichawi
Na hizi ndio hoja zilizo kwenye ilani ya chama chenuTulieni sindano iwaingie na huyo shoga wenu.
@Kiranga anaziita ad hominen attacksHizi ni dalili za kushindwa kumjibu mpinzani wako kwa hoja au kufahamu kuwa mpinzani wako ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wewe. Unatumia personal attacks.
Na ndio ilani ya CCM hiyoNaomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Hii ni credit kwetu acha waendelee na matusi sisi tukiwa tunachanja mbugaSiasa za nchi hii za kijinga, katibu mwenezi anaongea ujinga, matusi mengi kuliko hoja za msingi, wanasiasa wa CCM matusi mengi bila hoja za msingi
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika...Humphrey Polepole tuliasa asiruhusiwe kuendelea kutumia media, anachofanya siyo siasa nikuwalisha sumu ya mpasuko wanaomsikiliza.
Huwezi kumwita mgombea na binadamu mwenzako MSUKULE ukadhani unaimarisha chama, unakiua. Unaondoa roho wa utii miyoyoni mwa wapiga kura. Unaondoa utu unajivika unyama kwa madaraka yakupita kwanini?
Leo CHADEMA wakiwaita CCM misukule patakalika au ndo maelekezo yatatolewa kwa vyombo vya ulinzi?
Viongozi wa dini mnayaona haya? Tume mnayaona haya? Wazee mnayaona haya?
Wananchi wamechoka kusikia Lisu amefanya hiki na kile wanataka kuambiwa mtafanya nini?
Kama hamna familia sisi wengine familia tunazo na tuna haki ya kuzilinda, Kama mna nchi yakwenda kwa uwezo wenu wa kiuchumi cc hatuna pakwenda. Msituvuruge kwa kushindwa kwenu kutambua wananchi wanataka nini.
Game changer? Stupid gay!Humu ni wasemaji wa Cdm? Ccm wameshapanick na anachokionyesha Polepole ni kiwango cha kuchanganyikiwa huko. Huyo Polepole asizuiwe aachwe aongee ili kiwango cha ujuha wake na wa ccm viwe hadharani. Uwezo wa yeye kupambana na game changer hana.
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Polepole ndiye alisuka njama zote za kumuua lisu mungu kaanza kumuumbua sasaKwa ukatili waliomfanyia Lissu hawaamini kama kweli bado yupo hai.
Walitamani awe amekufa ndio maana kila wanapomuona na kumsikia wanajisemea labda ni msukule wake.
NECCCM Tumeccm ishitakiwe The Hague ICC mapema kwani inaenda kuvuruga Amani ya TanzaniaHii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika...
Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.
A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.
Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him....
He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people. This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
Wale wote waliohusika na mpango wa kumua Lissu watakufa kabla ya Lissu.Polepole ndiye alisuka njama zote za kumuua lisu mungu kaanza kumuumbua sasa
Nyaulingo alipata ajali Bagamoyo kawa kiwete na hana jicho, Bashite yupo benchi anasota ingawa le mutuz kamletea waganga wa kienyeji anajipa moyo, mmoja Asiyejulikana alikufa kule Iringa , sasa polepole kaanza kuropoka hovyo lazima mungu aendelee kuwaumbua zaidiWale wote waliohusika na mpango wa kumua Lissu watakufa kabla ya Lissu.
Nakaona kama kalinzi ka Mochwari tu mkuu..!we kapolepole unakaonaje, yani kanavyoonekana tu kimuonekano unakaonaje