Uchaguzi 2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

Uchaguzi 2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

TBCCM ni Tv huendeshwa kwa kodi za wananchi ambao wengi si wapenzi wa CCM, cha ajabu sasa TBC imekuwa mali binafsi ya CCM imekuwa kama gazeti la uhuru na daily news, haya ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Katiba yako hapo gheto unapovuta Bangi na kupakatwa ukiendeleza ushoga wako? au katiba ya Tanzania? wewe ndiyo umeonja na kulegezwa malinda mpaka kujitoa fahamu kuwa Sheria kali ingekuwa hata wewe usingefanya ushoga hapo gheto kwa cyprian Musiba unaposhinda ukivuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni na ujinga wako
Nendeni mkagongwe nae huko ubelgiji ila hapa TZ ni hapana.
Na.mtakufa kwa jazba
Sisi huku nguvu za kiume zipo za kutosha,
 
Jiwe analalamika wapinzani wanamtukana.. Na alitumia hii ya kutukanwa kama sababu moja ya kuvunja sheria kwa kuzuia vyama kufanya siasa kwa miaka mitano..

Leo kiongozi wa upinzani akimuita jiwe msukule ataweza kuvumilia..?

Sisiemu naona wamekata pumzi, kete pekee waliobaki nayo ni kupora matokeo halali October 28..

Ila Wajue Lissu sio waliopita..
 
Na tunategemea hivyo vyombo vya habari vilivyolusha hayo matangazo ya kumsikiliza mchumia tumbo vifungiwe haraka,kama walivyo wafungia TV Mawingu
 
Humphrey Polepole tulihasa asiruhusiwe kuendelea kutumia media, anachofanya siyo siasa nikuwalisha sumu ya mpasuko wanaomsikiliza.

Uwezi kumwita mgombea na binadamu mwenzako MSUKULE ukadhani unaimarisha chama, unakiua. Unaondoa roho wa utii miyoyoni mwa wapiga kura. Unaondoa utu unajivika unyama kwa madaraka yakupita kwanini?

Leo chadema wakiwahita ccm misukule patakalika au ndo maelekezo yatatolewa kwa vyombo vya ulinzi?

Viongozi wa dini mnayaona haya? Tume mnayaona haya? Wazee mnayaona haya?

Wananchi wamechoka kusikia Lisu amefanya hiki na kile wanataka kuambiwa mtafanya nn?

Kama amna familia sisi wengine familia tunazo na tunahaki yakuzilinda, Kama mna nchi yakwenda kwa uwezo wenu wa kiuchumi cc hatuna pakwenda. Msituvuruge kwa kushindwa kwenu kutambua wananchi wanataka nn
Hayo ni maoni yako
 
Msukule si tusi. Linamaanisha mtu ambaye network au memory yake imekaa vibaya baada ya kufa halafu akarejea kuishi duniani. Askofu Mwamakula kathibitisha haya katika mkutano ule wa Karagwe. Msukule kwa kawaida huwa huwaita wenzake washamba halafu anawaomba hao washamba wampe kura!
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Polepole Ame neutralize maana lissu naye kaitwa tume ya maadili ya nec, kawa preempty Nec

Huenda polepole Ni kachero wa upinzani ndani ya ccm
 
Nendeni mkagongwe nae huko ubelgiji ila hapa TZ ni hapana.
Na.mtakufa kwa jazba
Sisi huku nguvu za kiume zipo za kutosha,
Mlisema upinzani umekufa,sasa hivi mnatapatapa,
Na bado kampeni hazijafika ha nusu,zimebaki siku 30,mtaongea lugha zote mwaka huu.

NB:
Jikiteni kwenye hoja,muwaeleze mtawafanyia nini watanzania ili maisha yao na wajipatie kipato.
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Mbona Lisu anaita utendaji wa serikari kuwa wa kishenzi na hamjamwambia aache kutukana maata waofanya hizo kazi ni watu pia wana familia.
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Mara nyingi kama si mara zote hakuna ukweli unaoambatana na matusi, ukishaona kuna matusi na mambo kama hayo basi ukweli huo huwa ni wamashaka na usishangae ukawa ni uongo😀
 
Polepole ndiye alisuka njama za kumuua Tundu lisu, polepole ndiyo alitengeneza dili la kuwanunua wabunge madiwani kurudia chaguzi ndogo ndogo upya akapiga pesa nyingi kwenye manunuzi na kampeni zote, polepole katumia fursa ya mtukufu magufuli kuichukia chadema kujinufaisha kiuchumi, amekuwa akimchochea mtukufu magufuli atoe pesa za kuihujumu kuidhoofisha chadema na ndipo hupiga cha juu humo humo ni mmoja wa wanufaika wa mfumo kandamizi unaominya demokrasia na kuendekeza udikiteta wa kishamba
Siyo Makonda tena?
 
Nchi ina miaka zaidi ya 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi kufanya mambo ya hovyo, mambo yasiyo na tija kwa Taifa badala ya maendeleo, CCM hujinadi wameleta maendeleo makubwa cha ajabu hawataki kuona wananchi wanakuwa huru kuamua kile wanachokiona wao, hakuna uhuru wa kufanya siasa hakuna uhuru wa vyombo vya habari, utawala huu wa Awamu ya tano umeivuruga Nchi mpaka kupelekea Deni la Taifa kuwa maradufu ya Tawala zote zilizopita, wanatumia udikiteta kuwazima midomo wapinzani ili wapate kupiga dili zao pasipo kelele.
 
Mlisema upinzani umekufa,sasa hivi mnatapatapa,
Na bado kampeni hazijafika ha nusu,zimebaki siku 30,mtaongea lugha zote mwaka huu.

NB:
Jikiteni kwenye hoja,muwaeleze mtawafanyia nini watanzania ili maisha yao na wajipatie kipato.
Tayari CCM wana deni kubwa kwa watanzania wametafuna pesa zao nyingi kwa kazi zisizo na tija kwa Taifa, kabla hawajatangaza wataifanyia nini Tanzania ni vyema warejeshe pesa zote walizochukua Hizina kienyeji zikiwemo za kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
Humphrey Polepole tuliasa asiruhusiwe kuendelea kutumia media, anachofanya siyo siasa nikuwalisha sumu ya mpasuko wanaomsikiliza.

Huwezi kumwita mgombea na binadamu mwenzako MSUKULE ukadhani unaimarisha chama, unakiua. Unaondoa roho wa utii miyoyoni mwa wapiga kura. Unaondoa utu unajivika unyama kwa madaraka yakupita kwanini?

Leo CHADEMA wakiwaita CCM misukule patakalika au ndo maelekezo yatatolewa kwa vyombo vya ulinzi?

Viongozi wa dini mnayaona haya? Tume mnayaona haya? Wazee mnayaona haya?

Wananchi wamechoka kusikia Lisu amefanya hiki na kile wanataka kuambiwa mtafanya nini?

Kama hamna familia sisi wengine familia tunazo na tuna haki ya kuzilinda, Kama mna nchi yakwenda kwa uwezo wenu wa kiuchumi cc hatuna pakwenda. Msituvuruge kwa kushindwa kwenu kutambua wananchi wanataka nini.
Lazima haya yatokee kabla ya Tetemeko la 56.7. ktk siasa zetu
 
Hiyo yote ni mipango ya Mungu. Huyu polepole yupo ili litimie lililokusudiwa. Mungu amemuweka ili afanye maudhi, akere watu, apandishe hasira ili wapigakura wafanye maamuzi yaliyosahihi.
Kumbuka kutukana hakuongezi kura za anayetukanwa, huenda zitamnufaisha anayetukanwa.
Polepole anamharibia mgombea wa CCM badala ya kumsaidia. Kama hawajaweka msemaji mwingine, CCM wataendelea kupoteza.
Wito kwa watu wote wastaarabu ,wawaadhibu watu was aina take kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom