Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishindwe lkn tubaki na umoja wetu, hakuna faida yoyote kwa kila upande kumtukana mwenzake.Si ndio furaha yako ccm ishindwe sasa unashauli nini?
Magufuli msukule wa Kagame by PolepoleMbona humu huwa mnatamka misukule ya Lumumba
Kweli leo ndo nimeamini wewe ni msukule wa Lumumba. Nani wa jamii forum ashawahi kuita media na kutamka hayo maneno isipokuwa polepole tu?Mbona humu huwa mnatamka misukule ya Lumumba
Polepole ndiye alisuka njama za kumuua Tundu lisu, polepole ndiyo alitengeneza dili la kuwanunua wabunge madiwani kurudia chaguzi ndogo ndogo upya akapiga pesa nyingi kwenye manunuzi na kampeni zote, polepole katumia fursa ya mtukufu magufuli kuichukia chadema kujinufaisha kiuchumi, amekuwa akimchochea mtukufu magufuli atoe pesa za kuihujumu kuidhoofisha chadema na ndipo hupiga cha juu humo humo ni mmoja wa wanufaika wa mfumo kandamizi unaominya demokrasia na kuendekeza udikiteta wa kishambaHumphrey Polepole tulihasa asiruhusiwe kuendelea kutumia media, anachofanya siyo siasa nikuwalisha sumu ya mpasuko wanaomsikiliza.
Uwezi kumwita mgombea na binadamu mwenzako MSUKULE ukadhani unaimarisha chama, unakiua. Unaondoa roho wa utii miyoyoni mwa wapiga kura. Unaondoa utu unajivika unyama kwa madaraka yakupita kwanini?
Leo chadema wakiwahita ccm misukule patakalika au ndo maelekezo yatatolewa kwa vyombo vya ulinzi?
Viongozi wa dini mnayaona haya? Tume mnayaona haya? Wazee mnayaona haya?
Wananchi wamechoka kusikia Lisu amefanya hiki na kile wanataka kuambiwa mtafanya nn?
Kama amna familia sisi wengine familia tunazo na tunahaki yakuzilinda, Kama mna nchi yakwenda kwa uwezo wenu wa kiuchumi cc hatuna pakwenda. Msituvuruge kwa kushindwa kwenu kutambua wananchi wanataka nn
nmecheka sana kubabekiAisee Msukule wa Lumumba naomba nichukue nafasi kukupongeza kwa kujitambua kwako.
Kakika misukule yote nchini inapatikana sehemu moja tu; nayo ni hapo Lumumba! Hivyo Humphrey Polepole amekosea kumuita Lissu Msukule.
Live kwenye vyombo vya habari itokee mpinzani awaite CCM msukule lazima atabambikiwa kesi mda huo huoMbona humu huwa mnatamka misukule ya Lumumba
Polepole anasaidia CCM kukiri kosa. Nakubaliana naye Lissu ni msukule maana walimuua wao kisha kaponyeshwa na Mungu wao wanamuona Kama Mzimu (Msukule).Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Tulieni sindano iwaingie na huyo shoga wenu.Humphrey Polepole tulihasa asiruhusiwe kuendelea kutumia media, anachofanya siyo siasa nikuwalisha sumu ya mpasuko wanaomsikiliza.
Uwezi kumwita mgombea na binadamu mwenzako MSUKULE ukadhani unaimarisha chama, unakiua. Unaondoa roho wa utii miyoyoni mwa wapiga kura. Unaondoa utu unajivika unyama kwa madaraka yakupita kwanini?
Leo chadema wakiwahita ccm misukule patakalika au ndo maelekezo yatatolewa kwa vyombo vya ulinzi?
Viongozi wa dini mnayaona haya? Tume mnayaona haya? Wazee mnayaona haya?
Wananchi wamechoka kusikia Lisu amefanya hiki na kile wanataka kuambiwa mtafanya nn?
Kama amna familia sisi wengine familia tunazo na tunahaki yakuzilinda, Kama mna nchi yakwenda kwa uwezo wenu wa kiuchumi cc hatuna pakwenda. Msituvuruge kwa kushindwa kwenu kutambua wananchi wanataka nn
Ni vigumu kwa wapinzani kusema CCM ni msukule kwani watabambikiwa kesi mpaka wazimieKweli leo ndo nimeamini wewe ni msukule wa Lumumba. Nani wa jamii forum ashawahi kuita media na kutamka hayo maneno isipokuwa polepole tu?
Ushoga unao wewe kwani Bungeni si wabunge wa CCM wapo wengi ni lini walipiga kula kukataa ushoga? Kwa nini wabunge wa CCM hawapeleki mswada Bungeni kupinga ushoga wako?Tulieni sindano iwaingie na huyo shoga wenu.
wanaccm wengi moyoni ni wapinzani lakini wanavaa mavazi ya CCM kulinda mali zao binafsi wanaogopa kubambikiwa kesiwanachama wengi wa ccm km sio wote ni misukule
Swala la ushoga lipo kwenye katiba kwamba mapenzi ya jinsia moja ni kosa.Ushoga unao wewe kwani Bungeni si wabunge wa CCM wapo wengi ni lini walipiga kula kukataa ushoga? Kwa nini wabunge wa CCM hawapeleki mswada Bungeni kupinga ushoga wako?
Katiba yako hapo gheto unapovuta Bangi na kupakatwa ukiendeleza ushoga wako? au katiba ya Tanzania? wewe ndiyo umeonja na kulegezwa malinda mpaka kujitoa fahamu kuwa Sheria kali ingekuwa hata wewe usingefanya ushoga hapo gheto kwa cyprian Musiba unaposhinda ukivuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni na ujinga wakoSwala la ushoga lipo kwenye katiba kwamba mapenzi ya jinsia moja ni kosa.
Sasa ulitaka wabunge wapige kura ya nini wewe shoga?
Mgombea wako inaonekana keshaonja huko sasa anataka na nyie mchanwe malinda
Duh! Ngoja tuone kama yeye ataridhika na haya maneno.Baba yako anaendeshwa kutoka kwenye tobo la ......M a.....yako
Baada ya huu uchaguzi nafasi nyingi sana kqenye chama zitabadikishwa!!siasa za itikadi&uenezi zilimfaa Nnape, ila hawa akina polepole hawafai hata kuwa mabalozi wa nyumba kumi kumi.