Uchaguzi 2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

Uchaguzi 2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

Nichangie kidogo mbona Mgombea wa chadema lisu anatumia lugha chafu za kuwaita watu wameokotwa jalalani kwayo kunya anye kuku akinya bata uharo jieleweni machadema bana
 
Hao vijana wake wa mtandaoni mawazo yote na hoja wanasubiria kwake,hivyo unachokiona mitandaoni ni mawazo ya huyo huyo Polepole.Matusi na kauli zao zinashabihiana sawia.
 
Tume isifikiri itaiba kura kirahisirahisi,RAIS wetu ni LISSU,tutajaa barabarani
 
Hizi ni dalili za kushindwa kumjibu mpinzani wako kwa hoja au kufahamu kuwa mpinzani wako ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wewe. Unatumia personal attacks.

Kumbe mnajua maana ya personal attacks, nilifikiri hamfahamu maana yake ndio maana wakati Lissu akifanya personal attacks za kubumba hamkusema.

CCM ustaarabu umewashinda na watamwita choko kwa jina analotakiwa kuitwa , kumwita huvyo hakuna madhara kwa kuwa ni starehe yake.

Laa na wana motion pictures, ndoa itabaki kweli ?
 
Humphrey Polepole tuliasa asiruhusiwe kuendelea kutumia media, anachofanya siyo siasa nikuwalisha sumu ya mpasuko wanaomsikiliza.

Huwezi kumwita mgombea na binadamu mwenzako MSUKULE ukadhani unaimarisha chama, unakiua. Unaondoa roho wa utii miyoyoni mwa wapiga kura. Unaondoa utu unajivika unyama kwa madaraka yakupita kwanini?

Leo CHADEMA wakiwaita CCM misukule patakalika au ndo maelekezo yatatolewa kwa vyombo vya ulinzi?

Viongozi wa dini mnayaona haya? Tume mnayaona haya? Wazee mnayaona haya?

Wananchi wamechoka kusikia Lisu amefanya hiki na kile wanataka kuambiwa mtafanya nini?

Kama hamna familia sisi wengine familia tunazo na tuna haki ya kuzilinda, Kama mna nchi yakwenda kwa uwezo wenu wa kiuchumi cc hatuna pakwenda. Msituvuruge kwa kushindwa kwenu kutambua wananchi wanataka nini.

Polepole aombe radhi
 

Attachments

  • IMG_0041.jpg
    IMG_0041.jpg
    17.4 KB · Views: 1
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Na hutasikia NEC wala msajili akikemea hili..
 
Back
Top Bottom