Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,253
- 1,056
Kwa maoni yangu nadhani aendelee hivi hivi kaharibu namatokeo yake watayapata 28/10 tutakuja kumshukuru kwa kazi yake nzuri yakukiua chama chake kwa msomi wakeHumphrey Polepole tulihasa asiruhusiwe kuendelea kutumia media, anachofanya siyo siasa nikuwalisha sumu ya mpasuko wanaomsikiliza.
Uwezi kumwita mgombea na binadamu mwenzako MSUKULE ukadhani unaimarisha chama, unakiua. Unaondoa roho wa utii miyoyoni mwa wapiga kura. Unaondoa utu unajivika unyama kwa madaraka yakupita kwanini?
Leo chadema wakiwahita ccm misukule patakalika au ndo maelekezo yatatolewa kwa vyombo vya ulinzi?
Viongozi wa dini mnayaona haya? Tume mnayaona haya? Wazee mnayaona haya?
Wananchi wamechoka kusikia Lisu amefanya hiki na kile wanataka kuambiwa mtafanya nn?
Kama amna familia sisi wengine familia tunazo na tunahaki yakuzilinda, Kama mna nchi yakwenda kwa uwezo wenu wa kiuchumi cc hatuna pakwenda. Msituvuruge kwa kushindwa kwenu kutambua wananchi wanataka nn