Uchaguzi 2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

Kuna yule marehemu aliita watu Wapumbavu... ccm wajinga ni wengi
 
Na hutasikia NEC wala msajili akikemea hili..
Hili liko wazi mkuu hawezi kukemewa na NEC.

Mimi ninachoshukuru nikuwa TL anaenda kuwatukana kamati ya maadili ndani ya kikao nala kumfanya hawana
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Unamuonea tu Polepole hoja hana atasema nini sasa madaraja?
 
Huyo jamaa yenu kuitwa msukule ndio mnafungua Uzi kabisa wa vilio??
 
Wamepaniki

1. Ccm wanavurugana

2. Watavuruga vyombo vya ulinzi

3. Ccm watakosa uvumilivu na kila mmoja atachukua mbao yake

4. Vyombo vya ulinzi vitakosa uvumilivu na kuamua kusimamia haki

5.Ndipo uhuru wa Tanzania itatangazwa..

Twendelee kukandamiza.
 
Ambacho nimejifunza. Na kinachonifurahisha tangu kuanza kwa kampeni CCM wanalalamika mno pamoja na kupendelewa kupewa wabunge 55 bure na madiwani 1200 bado hawajiamini kabisa sasa Magufuli cha matusi kajificha chini ya mvungu
 
Magufuli kabananishwa hadi huruma kamfanya yule mkurugenzi wa uchaguzi watume ya taifa aongee kwa mihemuko huku akilia na kujiapiza kwamba yupo na ccm na lazima atamtangaza mgombea wa ccm shame on him
 
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.

Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Wewe ni CCM uliyeasi. Huna haja ya kujitambulisha, nimekufahamu hata kabla sijajiunga na jukwaa hili
 
Ccm pumzi kushnei.
Mmeanza kutukana,polisi wamewashtukia,hawawasaidii tena kama mlivyo zoea.
Na siku ya uchahuzi hakuna kura kuibiwa *****.
Lissu kaza kaza,utaenda kupumzikia Ikulu!
 
Ccm haiwezi kupoteza weweeee
Iwe mvua iwe just
Haikupoteza 2015 ndio iwe 2020???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…