Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

Ndio uanzishe hiyo Kampuni yako ili ufanye hayo hakuna atakayekuingilia lakini sio kujifanya unajua kufoka kwenye mambo ya Kisiasa huku ukijua wote ni wamiliki WA nchi hii.

Upo utaratibu wa kumfokea mtu na sio mbele za watu kwenye mambo ya kitaifa.

Hakuna atakayekuzuia kumfokea Baba au Mama yako, au Mkeo au watoto au Wafanyakazi wa taasisi au Kampuni yako lakini kwenye ishu za kinchi ujipange
Mimi na siasa ni mbingu na ardhi (hatupikiki chungu kimoja kamwe!)
 
Duh.
Umetoa Dukuduku zako.
Wazee Watoto waheshimiane
Walakin hizo tabia ni za Kiafrika peke yake? Au mie ndie niliyejichanganya.

Pole sana mkuu. Wamekusikia wahusika.
 
Back
Top Bottom