Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Maada Nzuri sana.
Ila mbona andiko lako umeliandika kwa Kufoka na wewe pia Mkuu?
😀😀
Ndio ongea yangu hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maada Nzuri sana.
Ila mbona andiko lako umeliandika kwa Kufoka na wewe pia Mkuu?
Mimi na siasa ni mbingu na ardhi (hatupikiki chungu kimoja kamwe!)Ndio uanzishe hiyo Kampuni yako ili ufanye hayo hakuna atakayekuingilia lakini sio kujifanya unajua kufoka kwenye mambo ya Kisiasa huku ukijua wote ni wamiliki WA nchi hii.
Upo utaratibu wa kumfokea mtu na sio mbele za watu kwenye mambo ya kitaifa.
Hakuna atakayekuzuia kumfokea Baba au Mama yako, au Mkeo au watoto au Wafanyakazi wa taasisi au Kampuni yako lakini kwenye ishu za kinchi ujipange
Una mentality ya unyanyasaji wa wanawake. Ushindwe na ulegee kabisa na hilo pepo lako la kunyanyasa wanawake.Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza wasaidizi wako kama vile Wake zako.