Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Siku hizi kila mwanamke anakuambia tafuta pesa, kama huna pesa hunipati, basi unakatazama kademu kenyewe unabaki kusema Shiiiii! Kimoyo moyo.
Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza kuwa huna pesa, sijui tafuta pesa.
Hivi Kwa akili ya kawaida mtu akiwa na pesa atamtongoza mwanamke asiye na mbele wala nyuma?
Hata akimfuata anafikiri atampa hizo hela Kwa jinsi alivyo.
Mwanamke hana Traako wala Double kibini,
Mwanamke huna Sura yenye ushirikiano
Mwanamke shule ulikimbia madarasa yako hayatoshi,
Mwanamke umetoka familia Masikini
Bado uwaambie wanaume watafute pesa, unaumwa wewe!
Hilo ni kujiombea mabaya, elewa wanaume wakiwa na pesa wengi wao wewe hakuna atakayekutaka,
Na kama watakutaka ni Kwa ajili ya matumizi ya dharura Kama vile Tajiri Kula Dagaa Kauzu Kwa hamu tuu au Kwa masharti ya mganga.
Wanaume wengi wanatafuta pesa Kwa ajili ya kuopoa pisi Kali za Moto ambazo huenda hata nchini Tanzania zipo chache,
Wengi tupenda watoto shombeshombe wenye miili laini yenye walau nyama nyama.
Vitoto Rangi mtelezo au vyeupeupe na Kam weusi basi uwe mtelezo.
Hiyo ndio ndoto za wanaume wakiwa wanahangaika kutafuta pesa.
Usije ukadhani wanatafuta pesa Kwa ajili yako ambaye hueleweki.
Huwaga nawashauri Dada zangu hasa Wale wenye Sura ngumu na wasio na Hifadhi ya kutosha ya taifa, wazidi kuwaombea wanaume Hali ngumu kadiri wapatavyo nafasi.
Ombea wanaume wasipate pesa
Ombe wanaume michongo Yao isitiki,
Ombea wanaume wazidi kuteseka ili heshima na thamani yenu iendelee kuwapo.
Fanya kazi upate hela ili nawe upate Mwanaume umtakaye,
Sura huna
Elimu huna
Pesa huna
KAZI huna
Msambwanda wa kuzugia huna,
Bado utake pesa, unaumwa wewe!
Hata wanaume wapate pesa hutapata hizo pesa kama haupo kwenye viwango, elewa kuwa Duniani kuna Fungu la kukosa.
Hata Kwa wale Malaya wanaojiuza bado wapo wenye kulipwa pesa nyingi Kwa mchezo, na wapo wakulipwa mpaka elfu mbili Kwa mchezo.
Msije sema Taikon anadharau Bali najaribu kuelezea hali halisi iliyoko mtaani.
Ninyi endeleeni kuwahamasisha wanaume Watafute hela Ila juweni kuwa mnajichimbia kaburi Lenu la halaiki.
Muhimu, tuwasaidie binti zetu kupata elimu na kuwafundisha namna ya kupata pesa maana Huko tuendako wanawake wengi watakuwa kwenye Mateso makali,
Mwanamke kama hana pesa nyakati zijazo atateseka Sana..
Taikon amemaliza.