Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Siwezi kukuelewa kweli
Na hao wanaume wanaolalamika kuhusu pesa ni masikini na hawana upendo
Mwanaume akikupenda atizizami sura wala tako,
Hao masikini ndo hivyo wanatafuta pesa hili wapatehizo pesi nyenye[emoji23],,,,,,,,,,,wakichunwa huko wanaanza kulia
"Kama umempenda mwanamke haijalishi yupo vipi,bali mbadilishe awe vile unataka weww"
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kunielewa Kwa vile wewe ni mwanamke, ungekuwa mwanaume ungenielewa.
Mwanaume hana nguvu Kwa pisi Kali wewe tatizo hujui nikisemacho,
Muombee mumeo apate pesa ili ujue tabia zake halisi. Wengi wanaume tunaigiza tukiwa hatuna kipato.
Masikini ndio tunaongoza Kwa Unafiki.
Siku tukipata pesa ndio tunakuwa Real😀😀