OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huweki picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachepuka, bila wewe kujuaAnazo za kutosha na mie ni pisi mbovu kishenzi,hadi najiuliza kavutiwa na nini kwangu??
Wanaume bana,poleni
TAFUTENI PESA,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza moli.We ni mjinga sana, umeambiwa mwanamke hapendwi kama una sura mbaya huna trako wewe unasema mwanaume akimpenda aatamfanwna awe anavyotaka.
Ni mama mkwe wangu huyo,aliyenizalia kipenzi changu.hiyo avatar km ni weee basi utakuwa mzuri dunia nzima.
Lakini siku si watu tunatafuta pesa?.
Cha ajabu maskini ndiye atakwambia tafuta pesa.Cha ajabu ukiwauliza hizo pesa ni kiasi gani hakuna mwenye jibu, hata mimi na umaskini wangu sijawahi kuambiwa tafuta pesa!
Jamani Robert mbona unatuchamba?
Si ndo maana nakaanga mihogo maana najua sura sina, shape sina, pesa sina, urithi sina, shule neiheee.Nisamehe Bhana!
Tuandaeni watoto wakike vizuri maana huko tuendako sio lelemama.
Amu unaniambia nitafute pesa wakati shule umekimbia, Trako huna, Sura hauna, Chapaa hauna, hivi kweli hata nikipata pesa utaambulia chochote kweli😀😀😀
NakaziaAnazo za kutosha na mie ni pisi mbovu kishenzi,hadi najiuliza kavutiwa na nini kwangu??
Wanaume bana,poleni
TAFUTENI PESA,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kuambiwa pesa inategemea umemwapproach nani na aina ya mtu uliyemwa approach.Cha ajabu ukiwauliza hizo pesa ni kiasi gani hakuna mwenye jibu, hata mimi na umaskini wangu sijawahi kuambiwa tafuta pesa!
Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza kuwa huna pesa, sijui tafuta pesa.
Tunazungumzia Pisi Kali Mzee,hakuna Pisi iliyonyooka vzr na ikapenda shida zakoNafikiri kuambiwa pesa inategemea umemwapproach nani na aina ya mtu uliyemwa approach.
Ikiwa ni changudoa ni sahihi kukwambia tafuta pesa kwasababu anauza
Hahhahahaha sio dhambi bhanaSura huna
Elimu huna
Pesa huna
KAZI huna
Msambwanda wa kuzugia huna,
Bado utake pesa, unaumwa wewe