Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Itaniuma ikiwa baba yako pia pesa anazo za kutosha..Na hakuna kauli inayomuuma mwanaume kama akiambiwa "atafute pesa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaniuma ikiwa baba yako pia pesa anazo za kutosha..Na hakuna kauli inayomuuma mwanaume kama akiambiwa "atafute pesa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri yko dada ooh
HahahahahKuna binadamu hata ukiwafungia pale jikoni Serena Hotel hawezi kuongezeka hata kidogo..
Uwiiiih nawe khaa!Itaniuma ikiwa baba yako pia pesa anazo za kutosha..
Sasa bibie mwanaume atakupendaje bila kuvutiwa na kitu ulicho nacho katika maumbile yako ? Yaani sisi huwa tunapenda pale ambapo tumevutiwa na kitu aidha mwendo, sura, umbo yaani nyama nyama,nasaba, tabia.Mwanaume akikupenda atizizami sura wala tako,
Mapenzi na mahusiano hayana kanuni maalum.
[emoji23][emoji23] mie naskiliza tu music huku naendelea kusoma comments.
Ungekula nini?Bila wanawake kuwepo duniani wanaume tusingehangaika kusaka pesa
Alafu maisha yako ungeendesha vipi??Bila wanawake kuwepo duniani wanaume tusingehangaika kusaka pesa
Hongera,pesa unzao za kutosha,Mapenzi na mahusiano hayana kanuni maalum.
Mimi binafsi sijawahi kuambiwa tafuta pesa.
Cha ajabu ukiwauliza hizo pesa ni kiasi gani hakuna mwenye jibu, hata mimi na umaskini wangu sijawahi kuambiwa tafuta pesa!Mapenzi na mahusiano hayana kanuni maalum.
Mimi binafsi sijawahi kuambiwa tafuta pesa.
Tutafete za kwetu[emoji23][emoji23] mie naskiliza tu music huku naendelea kusoma comments.
Tutafute hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo avatar km ni weee basi utakuwa mzuri dunia nzima.Kumbe unaongelea wa kasino!!!!
Basi sawa.