Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

Daaah,kaka umetisha
 
Kuna mama mmoja kaolewa na mtu mwenye hela lakini sijawahi muona anaendesha gari za mumewe. Kutwa kucha kwenye daladala. Ama kweli pesa za mume, kaka, baba sio zako. Tutafute za kwetu. Mwingine kahangaika mahakamani kudai mgao wa mali baada ya talaka, miaka 5 kaangukia pua. Sasa hivi yuko kwa ki boy friend kilichokuwa kinamdanganya ku fight ili apate mgao.
 
Message sent and delivered
 
Hii kitu ipo aisee na ni kweli
 
Huko si ndio wanawake waliojipambanua kuwa wanataka wanaume wenye pesa waliko

Ninyi huku mnaigiza,
Hata huku mtaani iko hivyo,
Lazima uwe na kitu ambacho mwanaume akikuona atashawishika kutoa mapesa mengi. Mifano ipo mingi
Ni kweli penyewe
 
Mimi nikifikia kiwango cha umilionea nahama tz nahamia u.s.a na pisi kali ya rwanda
 
Sasa Mimi nichukue mwanamke mwenye sura ya baba yake na Hana chura, si nitamtumia siku Moja au wiki TU alafu namuacha
 
Mfano mimi napenda big round booty nafanyaje na kimbaumbau wangu au unampeleka china.
 
True..majuzi hapa kuna mtu nataka mtoa anauliza una pesa? Nilicheka ni ka mtu kabovu, badae anaonesha kunidharau anasema huwezi enda na mm sehemu kama hauna pesa , nikauliza pesa ya nini sasa unataka jua kiwango nilichonacho ? nikamwambia sisi pesa au mahali pa kwenda huwa tunaangalia na mtu alivo , wewe ni wa kawaida hata sshemu nakupeleka ni chips bei ya kawaida mtaani kila kitu normal , siwezi kwenda na wewe sehemu chips ni elfu nne huna thamani hio ila kuna mtu anakuzidi kila kitu yeye ndo naweza kwenda nae hata mbuga za wanyama and not you
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Ujengewe mnara kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…