Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

Katika maisha yangu sijawahi kufanya jambo fulani ili niifurahishe jamii , maisha yangu ni yangu naishi ninavyoweza
 
Huwezi mpata kila mtu, huwezi kua na kila mtu, mwenza wako sio malaika... wala wewe si malaika

Upo nae ili mkamilishane, ubinafzi ukitawala unaanza kumwona kama hakutoshi, hakuridhishi. Shida kubwa kwenye ndoa nyingi ni mtu upo na makando mengi na hautaki accountability unamtafutia mwenzako makosa ili ubalance
 
Ukweli kabisa huu
 
People do change, shida huwa tunategemea sana akili zetu, unaweza kumchunguza mtu wew mpaka useme sasa nimekubali, zaidi ni kumshukuru Mungu sana kwa yule uliye naye, then muombee na umuombe Mungu amfanye kwa namna unayotaka awe. Ahsante ☘️
 
People do change, shida huwa tunategemea sana akili zetu, unaweza kumchunguza mtu wew mpaka useme sasa nimekubali, zaidi ni kumshukuru Mungu sana kwa yule uliye naye, then muombee na umuombe Mungu amfanye kwa namna unayotaka awe. Ahsante ☘️
Umeandika vema
 
1.Kuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mke/Mume wa kupewa na Mungu!

2.Watu wa mwilini ndio ambao huwa wanawakinai wenzao kwa sababu wanaishi kwa kuusikiliza mwili na tamaa zake zenye kudanganya

WAGALATIA 6
7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
 
Navumilia tuu ni wazazi hata na hivyo tupo kwenye mchakato wa kuachana mm kuulizwa uko wapi ?? Sjui anaongea huku macho kayaweka robo tatu kilo,, mara ushanifahamu nilimbandika usoni ugali wa baridiii cc secretarybird
We mbona mtundu sana πŸ˜…
 
Ushauri mzuri sana huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…