Unasema humtambui kiongozi halafu unalalamika hujamuona

Wewe na wenzako mko kama tumbo la kuzimu lilialo nipeee nipeee! Rais Magufuli akionekanaaaa mnaanza ooh amezidi atulie tumemchoka. Akitulia oooh hili ni takwa la kikatiba tunataka kumuona! Khaaaa! Mtataga mwaka huu! Na badoooo!!
Siyo bure. Umemficha!
Bibie watoka Tangaee!
 
Ulijibiwa jana na PM Unataka nani mwingine akujibu wewe kiazi mbatata
 
Angalia majibu ya "Great Thnkers" kwenye uzi huu! Najiuliza kama huwa wanasoma kwanza kile kinachojadiliwa au ni kuruka na kuzungusha mikono? Kwanini Mungu unatuacha na hawa misukule ambao bongo zao zipo kwa ajili ya kujaza mafuvu yao tu basi! Lawama ni kwa Mbowe kwasababu upinzani wa akina Mtei, Mapalala, Bob Makani, Cheyo haukuwa na vipepeo kama hawa....
Chonde TCRA msipandishe bei ya bando kwasababu ya hawa mzombie....waache tu nature itawaengua tu!
CC: mama D
 
Mleta mada uwezo wako wa kufikiri upo chini sana, kikubwa kinachoendelea kwa sasa siyo kutambua au kutotambua cheo,kikubwa ni kwamba watu hao wanafurahia majanga kumpata bwana mkubwa. Fikiria kwa upana.
 
Live walitejitekenya bavicha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani lazima umwone kila siku akioneka mnapiga kelele tena viazi mbatata kweli ninyi
 
Nawewe uwe rais basi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
You are too stupid to understsnd , rais wa nchi asipoonekana in public, hiyo ina create anxiety.
Kwa followup ya argument yako, kwani tulimchagua ali mumfiche ikulu?
Katiba inasema asipooneka kwa muda gani unatakiwa kuhoji?
 
Kwani lazima umwone kila siku akioneka mnapiga kelele tena viazi mbatata kweli ninyi
Mbona akila mahindi barabarani huwa mnatuonyesha, akinywa kahawa migahawani mnatuonyesha, akiota jua kwenye mawe mnatuonyesha? kuna shida gani mkatuonyesha na anavyopiga kazi sasa
 
Wanatakiwa waishi miaka mingi ili waje wawafundishe wajukuu zao wasithubutu kufanya haya mambo wanayoyafanya
 
Wewe na wenzako mko kama tumbo la kuzimu lilialo nipeee nipeee! Rais Magufuli akionekanaaaa mnaanza ooh amezidi atulie tumemchoka. Akitulia oooh hili ni takwa la kikatiba tunataka kumuona! Khaaaa! Mtataga mwaka huu! Na badoooo!!
Bavicha viazi sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…