Unasema humtambui kiongozi halafu unalalamika hujamuona

Siwezi kusoma na mjinga kama wewe.
Wewe mbweha acha ujuha wewe ni mbumbumbu kilaza msaka mbwa huna Ubongo Akili yako umekariri uteuzi acha ushamba bakia ukiota uteuzi Safari hii utapewa uteuzi wa ukuu wa wasiojua kufikiri na Tegemezi wa uteuzi kisha kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti
 
Hata kama hatambuliki lakini anatumia kodi zetu lazima tuhoji kama yupo hai au kafa au anaumwa lazima tujue hili si ombi ni takwa la kikatiba
Kodi zako wewe na Nani mnafiki wewe...umelipa au unalipa Kodi wewe?
 
Namtambua kwa ujinga wa taaluma yake ya kisheria na muelekeo wake kwenye hoja za kisiasa.
Huna unachotambua bali kwa Akili zako ndogo unaona umetambua, hujitambui kuwa wewe una mapungufu yako tena hakuna mapungufu mabaya kama kuona kuwa wengine wanakosea na kuwa wewe pekee ndiyo upo sawa, Taaluma yako haijakusaidia ndiyo maana unaota Uteuzi mda wote huna unachokijua zaidi ya hicho
 
Kodi zako wewe na Nani mnafiki wewe...umelipa au unalipa Kodi wewe?
Tena wana CCM siyo walipa kodi bali kodi kubwa hulipwa na wapinzani kwa hofu ya kubambikiwa kesi pindi wakiwa mitaani
 
Hata wafanyabiashara waliofungiwa biashara zao, Account zao, kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi, wengine kuporwa pesa zao, madini yao Airport na mipakani nao wanataka kujua alipo Rais wao ili na wao wamuombee apone haraka
Hakuna umbali kwenye maombi. Dunia nzima serikali ina utaratibu, sheria na kanuni. Waambie wajirekebishe pale walipokosea maisha yaendelee. Wakumbushe "DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE"
 
Kama mlishinda uchaguzi na CCM ikaupora, basi tungeona mwitikio wa wananchi pale mbeligiji na timu yake walipoitisha maandamano yasiyo na kikomo! Jipangeni 2025 inakaribia mpo busy na social media utafikiria zitawapigia kura. Mtangoja sanaaaa!
 
Wasiojulikana wengi wamekufa kwa kusomewa Albadiri ama kwa adhabu ya mungu hata aliyempiga Tundu lisu risasi alikufa kule mbeya kwa ajali na wengi wamepata mitihani mingi ya kidunia
na mwingine ni mjadala unaoendelea hajulikani aliko
 
Kwani Idd Amin hakuwa Rais wa Uganda?
 
Jibu hoja wewe Rais yupo wapi?? Je hali yake ya kiafya ipoje?
Maswali mawili rahisi saana haya ila ngojera kibao
 
Mtoa maada wakati unawaambia wenzio wasome zaburi nawe usome vizuri mafundisho ya Yesu kama we ni mkristo wa kweli unaemjua Mungu. Kwann umuingize Mungu kweny mabaraza ya wenye mizaha? Yani unatumia biblia kunanga watu? Ilishaandikwa waache wafu wazikane wenyewe na ya kaisari muachie kaisari? Siasa na dini ya kweli ni njia mbili tofauti kabisa. Jiulize kwann miaka yote its siasa against dini rejea herode enzi za yesu. Hata wafalme wengi waliokuwa watakatifu ila siasa iliwafanya wahasi dini japo walisamehewa ila kwa mateso makali sana. Sias mfumo wake mzima haumtukuzi Mungu huo ndo ukweli nakupa. Kitendo tu cha rais kutembea na bunduki inamaanisha anaeza kuua ikitokea namna. Je Mungu anafurahia mauji? Maan bible inasema sio mpaka ushike kisu uue hata mkristo wa kweli leo hii ikitokea unatamani Magufuli afe basi nenda katubu mara moja nobody deserves to die isipokuwa Mungu atakavyo. Amani iwe nanyi watu wa Mungu na tumrudie yeye amina.
 
Baeleze mazee .
Neno la Mungu linahitaji kuheshimiwa, kuabudiwa in fact.
Huwezi chezea madhabahu na ukatoka salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…