Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Usiwafanye watu wote wapuuzi mkuu.

Mimi na umri wangu huu nishindwe kuelewa maana ya direct na indirect ?

Unachomaanisha wenye akili tushakuelewa ma aamae.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Sasa wewe umefunga na unatamka matusi namna hii. Nimegundua funga yenu ni batili, ni kutekeleza amri bila kuwa na dhamira ya kumpendeza Mungu. Nimekuleteeni somo zuri la kuwasaidia kupata funga itakayoleta unyenyekevu, hekima na badiliko la moyo, tabia na maneno.
 
Sasa ndio nikauliza, kwanini ughafirike kwa mwenzako amabe hajafunga kula mchana wakati kufunga kwako ni imani yako, yaaani why uone wivu kiasi ufungie migahawa? Kwanini usishike imani yako na kuendelea na funga yako? Anyway
Jitahidi ujue maana ya maneno kisha ndiyo uyatumie. Tamko "ughafirike" lenye maana ya "kupitiwa au kusahau" imekuwaje umelitumia sehemu hiyo ?

Suala la wivu mpaka muda huu sijaona liko wapi ukizingatia hata maana yake huijui.
Kwa sisi ambao usiku hatuki wala hatunywi, bali tunalala tu hadi asubuhi ndio tunakunywa chai, tunakuwa tumefunga?
Kwa mujibu wa Uislamu hujafunga.
 
Ni kubadarj ratiba ya mlo na msimu wa ulaji wa nguvu
 
Hio imetaka kumuua mzee wangu after 3 days sukari ilikata ghafla!

Staki kabisa kusikia hio habari, alikuwa anataka akate wese mwilini apungue kilo ila hapana.
 
Pole sana shosti acha kuwa omba omba,tumeshtukia mbinu zako
 
Hatari hio inawapelekesha mno wanaofunga aina hio. Maji pekee ni mateso sana
Hio imetaka kumuua mzee wangu after 3 days sukari ilikata ghafla!

Staki kabisa kusikia hio habari, alikuwa anataka akate wese mwilini apungue kilo ila hapana.
 
Umekurupuka sana wapi imetajwa dini yako mbona mnawashwa washwa hivyo yaani ni kama vile mnamiliki hati miliki zoooteee za neno kufunga na kula jioni

Mnaita watu makafiri ila mali zao mnatumia si unafiki huo

Wewe ungekua na busara ungemuelewa mleta mada anamaanisha nini na kumuuliza zaidi maana ya funga anayoisemea
 
Huwezi kuwaletea watu somo la dini yao wakati wewe si katika wao. Hebu tuache kidogo.
 
Clearly ni sababu wameingiliwa makubaliano na maamuzi yao.
Wakina nani wameingiliwa; na wameingiliwa kivipi?. Kwamba anaefunga usiku ana tofauti gani na hawa wanaofunga mchana kiasi wanaoiga piga kelele kuhusu kufunga kwako tofauti na wanaofunga usiku ambao hawapigipigu kelele juu ya kufunga kwao?
 
Kuna tofauti gani sasa ya kimsingi kati ya mnaofumga mchana na wanaofunga usiku kiasi wanaofunga mchana wanapiga piga kelele sana kuhusu kufunga kwao tofauti na wanaofunga usiku ambao hawapigi pigi kelele juu ya kufunga kwao?
 
Vipi kwa sisi tunaofunga kula, kunywa, kuvuta na kufanya ngono kuanzia jua linapozama hadi linapochomoza, na sisi tumefunga au tunaiita vipi?
Kufunga hata ukilala usiku ni kufunga tu ndio maana chakula cha asubuhi kinaitwa Break Fast yaani futari kwa Kienyeji.
 
Kuna tofauti gani sasa ya kimsingi kati ya mnaofumga mchana na wanaofunga usiku kiasi wanaofunga mchana wanapiga piga kelele sana kuhusu kufunga kwao tofauti na wanaofunga usiku ambao hawapigi pigi kelele juu ya kufunga kwao?
Eti wanaofunga usiku!

Hivi nyie makafiri akili zenu ziko matakoni au?

Mana ujinga mnaoandika humu hata nguruwe hawezi kuandika.
 
Kufunga wafunge waislam ila unateseka wewe dini isiyokuhusu Kwaresma zinapita Bila kufunguliwa thread ila ikifika Ramadhan tu wanaanza kuwashwa ni vithread uchwara
 
Pole sana shosti acha kuwa omba omba,tumeshtukia mbinu zako
Umeamka asubuhi asubuhi ujakosha hata sehemu zako za siri chafu unadandia wanaume.

Binti kwa tabia hizo utaishia kuchezewa mpaka siku ya kufa kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…