FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nini tofauti ya wanaofunga mchana na wanaofunga usiku kiasi hawa wa mchana wanaoigapiga kelele sana kuhusu kufunga kwao tofauti na hawa wa usiku?Kufunga hata ukilala usiku ni kufunga tu ndio maana chakula cha asubuhi kinaitwa Break Fast yaani futari kwa Kienyeji.
Jibu hoja, unapaniki nini sasa? Kwanini wanaofunga mchana wanapigapiga kelele sana tofauti na wanaofunga usiku?Eti wanaofunga usiku!
Hivi nyie makafiri akili zenu ziko matakoni au?
Mana ujinga mnaoandika humu hata nguruwe hawezi kuandika.
Moja ni Imani na nyingine ni Nature.Nini tofauti ya wanaofunga mchana na wanaofunga usiku kiasi hawa wa mchana wanaoigapiga kelele sana kuhusu kufunga kwao tofauti na hawa wa usiku?
Hakuna asiyejua hilo, ila kimsingi wote wnaacha kula na kunywa kwa wakati maalum, kisha wote hufungulia either kwa futari au kifungua kinywa (chai), sasa iweje wanaofunga mchana wanaoigapiga sana kelele kuhusu kufunga kwako tofauti na wale wanaofunga usiku?Moja ni Imani na nyingine ni Nature.
Hii funga ya Kiimani inaambatana na Swala Dua na Tahajudi na kelele nyingine za kiibada.wanaoigapiga sana kelele kuhusu kufunga kwako tofauti na wale wanaofunga usiku?
Wewe inakuhusu nini choko.Mtu anakula saa kuminamoja, saamoja na saasita tumbo kubwaaa eti amefunga au amebadili usiku kuwa mchana🤣🤣🤣😀😀
Munajizuia nini??!! Wakati mijitu kibao inatombana tena muslims kabisaa tembea uoneHumu kuna wajinga wengi sana huwa nawapuuzia sana hasa Wasio Waislamu hutubeza ya kuwa tunabadilisha muda wa kula.
Sasa nakuuliza maana ya kufunga ni kujizuia kula pekee ? Huu ujinga amewaambia nani ?
Kwetu sisi Waislamu kufunga ni kujizuia kula, kufanya uovu, batili kuanzia alfajiri ya kweli mpaka jua linapo zama. Hii ndiyo maana ya funga kwetu sisi Waislamu.
Sasa unapotushangaa sisi na sisi tunakushangaa wewe kuhusu maana yako batili ya kufunga.
Hata wanaofunga usiku, wanaswali kabla ya kulala , na wanapoamka kabla ya kufungua kinywa wanaswali pia, tena wanafunga hata kutenda uovu maana wanakuwa usingizini wamelala; sasa nini tofauti hadi hawa wa mchana wanaoigapiga kelele kuhusu kufunga kwao, kiasi hadi wanafungia watu migahawa?Hii funga ya Kiimani inaambatana na Swala Dua na Tahajudi na kelele nyingine za kiibada.
Maji yanaongeza kinga ya mwili??Hao wa 40 kavu pia wako vizuri japo kisayansi mwanadamu akivuka siku 3 bila maji ni hatari kwa afya maana kinga ya mwili inashuka.
Mtu unajiita choko.Mtu anakula saa kuminamoja, saamoja na saasita tumbo kubwaaa eti amefunga au amebadili usiku kuwa mchana🤣🤣🤣😀😀
Hawa ni wasanii tu, hawafungi ila wanabadilisha tu muda wa kula.Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Serikali imeingilia kati sio sisi waumini.kiasi hadi wanafungia watu migahawa
Hiyo serikali inaongozwa na waumini husika hivyo waliofanya hivyo ni waumini walio madarakani.Serikali imeingilia kati sio sisi waumini.
Acha kujibu mijitu ya hivi mana hakuna linalo wa husu zaidi ya chuki zao.Hii funga ya Kiimani inaambatana na Swala Dua na Tahajudi na kelele nyingine za kiibada.
Ndy vizuri ili uzi ufungwe.Sasa wewe umefunga na unatamka matusi namna hii. Nimegundua funga yenu ni batili, ni kutekeleza amri bila kuwa na dhamira ya kumpendeza Mungu. Nimekuleteeni somo zuri la kuwasaidia kupata funga itakayoleta unyenyekevu, hekima na badiliko la moyo, tabia na maneno.
Kati ya hao wote uliowataja funga zao ni kujizuia Kula na kushiba.Sasa hivi ni kwaresma, rc, anglican, moravian, na lutheran wanafanya kama waislamu na sijaona hata mmoja akija hapa kulalamika isipokuwa waislamu. Why?
huwa hawafungi wanarudishia tuSalamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.