Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Jambo Kama Hulielewi Omba Ueleweshwe.
 
yaani siyo kula tu majamaa yanakula mpaka yananyoosha miguu na usiku kuna kitu inaitwa daku
 
Wakifunga waislam tabu kweli walivyoanza wengine kwaresma nyuzi kama hizi hazikuepo
 
Umepiga kwenye mshono
 
Shekh, ukila huwezi kujizuia kufanya maovu.
Mtu anatakiwa kuacha maovu nyakati zote hili lipo wazi.

Lakini katika kufunga mtu anajizuia kufanya hata yale ambayo ni halali kuyafanya katika nyakati zingine.

Mfano kula, kunywa,kufanya tendo la ndoa n.k, haya mambo ni halali lakini mtu anajizuia kuyafanya akiwa amefunga, na hiyo ndio funga.

Hivyo kama mtu anajizuia kuyafanya yale ambayo ni halali kwake katika funga, hivyo kujizuia na maovu ni bora zaidi.

Na kama aliweza kufanya hivyo ndani ya mwezi mzima basi anatakiwa kuendelea hivyo hata baada ya Ramadhani.

Na hapo ndio linapatikana lengo la funga ambalo ni kuwa mchamungu.

Hivyo inaposemwa katika kufunga kuna kujizuia na maovu, haina maana inaruhusiwa katika nyakati zingine kafanya maovu.

edwayne
Emmanuel Robinson
 
Vipi kwa ambao muda wa usiku hawali wala hawanywi bali wanalala tu hadi asubuhi ndio wanakunywa chai, na hao wamefunga?
Wenyewe Wakisema wamefunga kwa mujibu wao hatuwakatalii.

Na wenyewe wakisema hawajafunga kwa mujibu wao hatuwakatalii pia.

Kila watu wqna maana yao ya kufunga(kujizuia).
 
Unakula jioni na asubuhi unakula daku...
 
Kwanini ule mbele ya mwenzako na unajua amefunga ?
Hii mimi napinga mzee.

Kula ni kitendo cha halali katika dini na kufunga kitendo cha ibada pia.

Ibada yako haiharamishi halali ya mtu mwingine.

Kufunga kwqko hakuharamishi watu wengine kula ukiwa unawaona ikiwa tu watu hao hawalazimiki kufunga.

Kuna waislamu hufunga sunna za j3 na alhamisi mbona wanaishi na watu wanaokula mchana siku hizo ?
Mathalani nchi kama Zanzibar ni sahihi kufanya maamuzi yale sababu wao kule zaidi ya asilimia 80 ni Waislamu hata huku Bara pia.
Kama zanzibar waislamu ni wengi basi hakuna haja ya kuweka hizo sheria kwa sababu hata usipozuia watu kula wwlaji watakuwa ni wachache na hadhi ya mwezi utabaki pale pale,na watu watajua kwwmba ni ramadhani kwa sababu harakati za watu kula zimepungua.

Sasa Nchi walaji wa mchana ni 2% kuna haja gani ya kuzia wakati hawaathiri chochote katika taswira ya jamii mwezi wa ramadhani ?

Kama ingekuwa hilo jambo linamata basi wangezuia nchi kama tanganyika kwa sababu tanganyika ni fifte fifte so ukizuwia watu kula unaona hasa kweli watu hawali,lakini ndio haimati kuzuia watu kula mchana.
 
Wenyewe Wakisema wamefunga kwa mujibu wao hatuwakatalii.

Na wenyewe wakisema hawajafunga kwa mujibu wao hatuwakatalii pia.

Kila watu wqna maana yao ya kufunga(kujizuia).
Ni kwanini wanaofunga mchana wanapigapiga sana kelele kuhusu kufunga kwao tofauti na wale wanaofunga usiku?
 
Poa.
 
Wakifunga waislam tabu kweli walivyoanza wengine kwaresma nyuzi kama hizi hazikuepo
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ“ŒπŸ“Œ
 
Shosti ungekua hauna ujauzito ungeenda kula tu hakuna funga hapo
Umeamka asubuhi asubuhi ujakosha hata sehemu zako za siri chafu unadandia wanaume.

Binti kwa tabia hizo utaishia kuchezewa mpaka siku ya kufa kwako.
 
Na wengine wanaomba mpaka kwa Maria sio Yesu tu.
 
Unajua kwa nini Mungu alimfanya mtume hajui kuandika wala kusoma kilichoandikwa?
Kuku outsmart na utopolo wako huu ulio uandika.
 
Eti huyu utakuta anaitwa 'baba mchungaji' na Wafuasi wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…