Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Kwani nani kakwambia watu wanavimbiwa?
unajua mafundisho ya Uislamu au umekazia iyo point yko tuu?

Kwaresma mnafunga mchana au usiku?
Mnageuza usiku kuwa mchana na mchana kuwa usiku
Embu jiulize mnafunga alafu ndio mnaongezeka uzito na unene kipindi hichi, kuna watu mpaka wanaenda kukopa pesa ili wale vizuri,

ivi kipindi ichi Mutah inaruhusiwa au na yenyewe mnafunga kuifanya?
 
Kwani nani kakwambia watu wanavimbiwa?
unajua mafundisho ya Uislamu au umekazia iyo point yko tuu?

Kwaresma mnafunga mchana au usiku?
Mimi nafunga kila siku usiku, mchana ndio nakula. sina dini. Mwili wa binadamu kiasili umetengenezwa kufunga usiku, sasa mnapopindua ratiba ya kufunga mkaanza kufunga mchana badala ya usiku kama binadamu wengine wote wafanyavyo means unaupa mwili chakula wakati mwili upo inactive, hii ina madhara sana kiafya, hata kama huvimbiwi
 
usiseme huna dini ayo maisha unoishi ndo dini yako

basi wacha sisi tufuate kile ambacho Muumba wa mbingu na Ardhi alichotuamrisha sio ww unaefuata matamanio yako
 
Madhara hayo wangeypta toka mababu zetu walokua wakifunga

kwani Ramadhani imeanza leo?
 
usiseme huna dini ayo maisha unoishi ndo dini yako

basi wacha sisi tufuate kile ambacho Muumba wa mbingu na Ardhi alichotuamrisha sio ww unaefuata matamanio yako
Mimi sijasema kwamba hamjaamrishwa, maana aliyewaamrisha nyie ndie mnamjua, ila ninachosema ni kwamba, kupindua ratiba ya asili ya kufunga na mkaanza kufunga mchana badala ya usiku kama ilivyo ada ni hatari kwa afya. Ni kama mtu kuingiliwa kinyume, inakuwa ni kinyume na uumbaji wa asili wa maumbile ya mtu, ndio maana inakuwa na madhara.
 
Waislamu wenzangu naomba msiendelee kuargue chochote na hawa makafiri wakubwa
 
Mbeya, Mwanza, Moshi huko wakristo ni 80% lakini mwezi wa kwaresma kila mtu yuko huru hakuna makatazo ya watu kula katika hicho kipindi

Kwani mtu akila mbele yako inaharibu funga yako?

Kiukweli moja ya sababu ambayo inanifanya niwaone waislamu wengi ni weak sana ndio hii.


Napenda kutumia mfano wa watoto ambao umri wao hauruhusiwi kufunga, hao watoto wanapikiwa na nani katika hicho kipindi cha mfungo?

Unawezaje kuwapikia chakula watoto wako ambao hawajafikia umri wa kufunga ukiwa wewe umefunga na ukaweza kujizuia usitamani halafu ukashindwa kujiuzuia pindi umuonapo mtu mzima akila mtaani?

Au hiyo futari ambayo mnafuturu saa 12, mara nyingi huwa inaandaliwa mapema kabla ya muda wa kufuturu haujafika. Kwamba huwa inaandaliwa na watu ambao hawajafunga ili kusudi watu waliofunga wakipika wasipate tamaa?

Ni hao hao waliofunga ndio wanaopika lakini hapa unaweza kujiuliza wanawezaje kuzuia hiyo ashki ya kutamani kula?
 
Poa.
 
Madhara hayo wangeypta toka mababu zetu walokua wakifunga

kwani Ramadhani imeanza leo?
We aliyekuambia hawakupata madhara ni nani? Uliwapima lini ukagundua hawakupata madhara? We hushangai ma-Alhajj wanaofunga funga kinyume na utaratibu wanakuwa na viriba tumbo? Hushangai? Yaani mtu anafunga akija kupima uzito mwisho wa mwezi kaongezeka kilo 20, hamshangai??!!!
 
Madhara hayo wangeypta toka mababu zetu walokua wakifunga

kwani Ramadhani imeanza leo?


Kwani wengi wetu tunaishi kwenye mifumo ya maisha walokuwa wanaishi babu zetu?

Babu alikuwa anaishi kwa kutembea kwa miguu kwenda shambani na kurudi kila siku kilometers nyingi,

Mababu wamekua wakitembea kwa miguu mwendo wa mbali kila walipokwenda kwenye life styles zao bila gari wala bodaboda,

Je Mimi na wewe Leo tunayafanya hayo?

Sasa vipi yule ambao akitoka nyumbani anapanda gari kila anapoenda kwa Gari au pikipiki?

Bado sijagusia life styles zao nyingine interms of chakula n.k

Tafakari.
 
Aiseee
 
😍
 
Hapa umeongea asali tupu! Wanaopika futari huwa wamefunga, mbona hawatamani? Iweje mtu ale mgahawani halafu utamani? Doesn’t make sense
 
 
Aliongozwa na Roho Mtakatifu kwenda kufunga. Soma maandiko vizuri.

Umejuaje kwamba hakufunga tena siku arobaini? Biblia inasema si kila alichofanya Yesu kiliandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…