Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
- Thread starter
-
- #61
Madam hii wala haikuwa inahusu Imani yoyote. Kufunga ni suala la kiafya zaidi. Watu wanaleta mambo ya Imani na dini.Kinachokusumbua ni kuto jua maana ya Neno Imani.
IMANI: Ni tumaini, Kuamini, Utamaduni, usitegemee imani yako ifanane na ya mwingine.
Wapo wanaoamini kuwa, hakuna Mungu kwangu nawaoma wako sawa, kwa sababu zao.
Tatizo linaanza pale unapohoji imani ya mwingine, bila kujua hizo unazo ona ni dosari ndizo zilizotufanya tuwe tofauti.
Kwa mtu alie makini, atamkosoa wa imani yake ambae anaenda kinyume na miongozo yao, ukihoji imani nyingine wakati wao hawafuati miongozo yenu, kuwa hujui hata unachokiamini.
Kufunga nini kwakoHapa mambo ya dini umeyaleta wewe. Kufunga ni suala la kiafya na ndio nashangaa kuna watu wanasema wanafunga ilhali kila siku wanakula.
Mkuu hapa hauko sahihi. Namfahamu mtu aliyewahi kufunga siku 92 ingawa mimi pia niliona ni muujiza.Hakuna binadamu, anaeweza kuishi Siku 40, bila kula kisa eti amefunga na akawa na nguvu huku akiendelea la shuguri zake za kaida hii siyo kweli.
Ikitokea hivyo huyu mtu, kuna wakati atakua hajiwezi hata kuinuka kwenda tu kukojoa.
Hii mada haihusiani na Imani yoyote. Kufunga ni suala la kiafya zaidi.Jifunze kuheshimu tofauti ya Imani. Hii itakusaidia sana 🙏
Soma hapo juu nimekujibu.Kufunga nini kwako
Siku 91, hali na anashiriki shuguri zake za kiuchumi na za kijamii vizuri tu, au anakua amelala tu. ila shuhuda wa funga ni Mungu binadamu hawezi kuwa shuhuda.Mkuu hapa hauko sahihi. Namfahamu mtu aliyewahi kufunga siku 92 ingawa mimi pia niliona ni muujiza.
Ila siku 40 wapo watu wengi tu wanafunga na mara nyingi ikifika siku ya 14 hadi 28 mwili unakuwa na nguvu sana ila baada ya hapo ni lazima awe sehemu moja tu katika kile alichoamua kutekeleza.
Ila mkuu ukiweza angalau kufanya siku 21 yaani hutaamini jinsi utakavyokuwa umeanza maisha mapya. Akili inachaji, hutahitaji tena sukari wala chumvi na wala hutakuwa unakula chakula kingi na afya yako itakuwa imeimarika sana.
Angalizo: ukitaka kujaribu hii ni lazima uanze kidogo kidogo, mbili, kisha tatu, kisha saba, hapo unaweza kuanza kuunga mpaka 21.
mbona unajitetea uongo wwHii mada haihusiani na Imani yoyote. Kufunga ni suala la kiafya zaidi.
Unakashifu Imani ya dini nyingineMkuu afute kwasababu gani? Punguza kuwa mbinafsi.
watoto washalala saivi sijui utamdanganya nani hapaMk
Boss hili swali lilikuwa kwa watu wote, halikulenga dini yoyote.
Huwezi kukwepesha hii mada, na imani.Hii mada haihusiani na Imani yoyote. Kufunga ni suala la kiafya zaidi.
Asile kabisa hizo siku zake hapo atakua kafunga nadhani.Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
Huyu anataka watu wote waamini anachokiamini yeye.Sasa wewe ulitakaje?
Chuki inakusumbua sio bure!
Hizi ni hisia zako tu.mbona unajitetea uongo ww
hao ulowasema kwenye title ni Waislamu tu wala hamna wengine usitetee ujinga ulouanzisha ww mwenyewe
Mkuu unaweza kuonesha mahali Imani yoyote imetajwa?
Mkuu unaweza kuonesha mahali dini yoyote imetajwa?Mimi ni Upande wa pili lakini hichi uliachoandika hapa ni PUMBA, hoja ya kijinga sana.
Heshimu Dini za wengine.
Hapana, hilo sio lengo langu.Huyu anataka watu wote waamini anachokiamini yeye.