hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Teeh teeh.Nalielewa vyema tatizo lako. Fanya ufunge siku saba. Utapata utulivu na hekima.
Yani takataka wa kigalatia kama wewe unifundishe hekima mtu kama mimi.
Wewe hata maana ya hekima sidhai kama unaijua.
Na ungekuwa unaijua huu upuuzi wako wa kujifanya wauluza maswali ya ajabu ajabu wala usingeleta humu jukwaani.