Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Mnafundishana ujinga[emoji38][emoji38]
maana hili jibu ni common sana
 
Nipo stationary nafanyia lamination hii comment yako mkuu.
 
Watu wengi wanadhani ukiwa na hela ndio utapata mwanamke yoyote. Hawaamini kuna wanawake hawababaiki na hela.
Acha uongo tafuta pesa uone kama kuna mwanamke unayemtaka atakupuuza.

Kuna una pesa tumia pesa, hakuna mwanamke anayeweza kukukataa
 
Hakuna mwanamke aliyenipa hilo jibu akabaki salama. Baada ya jibu kama hilo hua nakula bati, yani mikausho mikali mpaka wanaishiaga kujishtukia na kuanza kujilengesha wenyewe.

Nahisi nimekua mtu mzima sasa. Ile nguvu ya kuforce mapenzi sina. Niko focused sana na pesa na career yangu!
 
Mh h moment mkuu uneitoa wp au umepest?
 
Iyo imetulia haezi chomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…