Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Vipi na daktari wa TANAPA,MD,BVM,Phd......anazidiwa kiasi gani na askari wa TANAPA?
NOTE
huwezi kuichukia elimu,ukabaki salama,.......lazima tu utakua MPUMBAVU
Naona huelewi context. Hakuna anayechukia elimu. Tunaongelea maslahi madogo ya madaktari against kada zingine za umma kama TANAPA, TRA, LATRA na taasisi kama hizo, ambazo skeli zao za mishahara ni kubwa kulinganisha za madaktari. Period.
 
Sasa kilichofanya nini ukataee hiyo kazi? Upelee humuota asiye na kucha.
 
Naona huelewi context. Hakuna anayechukia elimu. Tunaongelea maslahi madogo ya madaktari against kada zingine za umma kama TANAPA, TRA, LATRA na taasisi kama hizo, ambazo skeli zao za mishahara ni kubwa kulinganisha za madaktari. Period.
1.Sasa unadhani madaktari kwenye hizo taasisi zinazolipa mishahara unayodai ni mikubwa huwa hawaajiriwi?
2.MSD,NHIF,BOT,TANAPA,TPDF......etc huko hakuna madaktari MD?
3.kwa hio madaktari waliokua kwenye hizo taasisi unazosema zina mishahara mikubwa wao ndio wanalipwa kidogo?
4.halafu hizo ulizotaja kada za umma,TANAPA,TRA,LATRA....hizo sio kada/"profession"ni taasisi za umma ambazo zimeajiri kada mbali mbali kama accountant,lawyer,MD,I.T,etc na hulipwa kulingana na salary scale ya taasisi husika
5.Je wewe sio MPUMBAVU kwa kutokujua kua pia MD huajiriwa kwenye taasisi,na hulipwa salary scale according to hio taasisi?
6.Je wewe sio MPUMBAVUπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kwa kusema kwamba TANAPA,TRA na LATRA ni kada,wakati hizo ni taasisi?
πŸ˜†πŸ˜†
NOTE
Wengi wanaoponda MD ni waliofeli secondary kua MD sababu maksi hazikutosha sasa wanajifariji kwa kusingizia MD wanalipwa kidogo
 
Kuna kipindi i met Dr Mataragio akiwa TPDC na sikuwa najua haya ila ningebubujikwa na machozi aniweke pale.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Wape Hii wasikilize Mkuu
Your browser is not able to display this video.
 
"If It were Easy, Everyone will be a Doctor, Because this is the best Job in the World, Despite Everything"
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…