Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Hii kweli kabisa, wenye hii taaluma ni rahisi kutoboa.
Hata mimi nna rafiki yangu amefungua clinic yake anaingiza pesa nyingi na bado ana mshahara wa maana.
Hapo kuna kitu kinambana km isingekuwa hivyo angekuwa mbali zaidi ya hapo.
 
TPDC wanaajiri MD, wale wanaokaa kwenye hospital za jeshi, namfahamu m1 yuko huko.
 
1.kua haujui B.O.T Wana clinics kwenye baadhi ya centre zao na wana MD hadi leo?,......je wewe sio MPUMBAVU?
2.kua mfanyakazi akiugua anaenda hospitali ya kawaida,hospitali ya kawaida unamaanisha nini?
3.Ok umefanya kazi taasisi nyingi,UDSM,SUA,DIT,TRC,NHIF,TPDF,MSD,WCF,NIMR,JKCI,TANAPA,KIA etc.....kote huko umefanya kazi na haujawaona MD,umewaona tu wanasheria na wahasibu?πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜ƒ.........Je wewe sio MPUMBAVU?
NOTE
Mpumbavu ni mtu anayejifanya anajua,akaelekezwa,akapewa "facts",na vielelezo bado tu akajifanya yeye anajua
 

Attachments

  • Screenshot_20240718-121549.png
    123.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20240718-122228.png
    99.6 KB · Views: 12
Hawa ndio wajinga/WAPUMBAVU waliojaa JF,ila hatuchoki kuwa pre-empty minds zao........
1.wasichojua huko TAMISEMI na wizara wanapowaponda MD,......na mishahara ni midogo,MD ndio ana mshahara mkubwa kuliko mtu yeyote kwenye hio taasisiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜†,junior tu anayeanza kazi TAMISEMI anamzidi hata mwanasheria,muhasibu,I.T aliye kazini hata miaka 10
2.Wanadhani Katika mashirika ya umma hamna MD,wapo wengi sana na wanalipwa kwa "rate"kubwa kuwazidi wahasibu,wanasheria etc......waambie wapumbavu waende NIMR,NHIF,WCF,B.O.T,TANAPA etc
3.Sasa hawa WAPUMBAVUπŸ˜†πŸ€£πŸ€£,wanakuja kulingaisha mshahara wa muhasibu wa NIMR na MD wa halmashauri,ukiwaambie tuletee salary slip ya MD wa NIMR wanaleta matusi........WAPUMBAVU nipo nao mwanzo mwisho kwenye huu Uzi
NOTE
Note mpumbavu ni mtu asiyejua(MJINGA),akajifanya anajua,akaelekezwa,akapewa facts/logic,.....vielelezo bado akajifanya anajua
 
Mkuu umeongea Vyote hahaha
 
Zitaje hizo shortcut
  • Any illegal activity (the higher the risk the higher the monetary reward)...
  • Badala ya kutumia huo muda kusoma angeanza udalali au uchuuzi at a bigger scale sasa hivi angekuwa na pesa nyingi zaidi minus madeni ya mikopo
  • Uganga wa kienyeji na utapeli wa kuwauzia watu hope
  • Badala ya kupata medical skills angepata salesmanship skills (through experience na learning) sasa hivi angeweza kupata pesa kuliko hizo
  • Hizo pesa alizotumia kusomea angewekeza kwenye long term business mfano kajumba wakati anaanza kusoma theoretically leo angekuwa na pesa zaidi
  • Badala ya kwenda shule angeweka pesa zake kwenye account asizitoe na apate compound interest leo hii zingekuwa nyingi kuliko mshahara huu anaolalamikia...
Nadhani a better question ni IS IT WORTH IT..., kwangu mimi naona hapana there is more to life than money / cash The fulfillment of achieving what you had set out to do is what its all about....

 
Tumezungumzia pesa kiwango anachoingiza kwa mwezi, kila mtu ana akili zake, kama Mimi nilishaacha ajira maana nilishaona siwezi kutoboa kwa kupitia ajira ya serikali hii, unamlipaje mtu muhimu kama daktari 700k, au 800k? Wakati huku kitaa kwa mwez baada ya matumiz yote kabisa ikibak milion 1 tunaona hatuna kitu, usipanic mzee nitafute utajipata
 
1.Unataka Kodi yote inayokusanywa nchini, itumike kulipa mishahara ya daktari,huyo daktari anayelipwa laki 8 ndio mtu anayelipwa pesa nyingi kwenye hio taasisi kuliko taaluma nyingine yeyote ile
2.wewe uliona huwezi kutoboa kwa ajira serikalini,au sababu ni incompetent?,.......hata wabunge,wagenerali wa jeshi,RC,makimishna wa tume na wadau kibao wapo serikalini kwenye payroll,wanavuta kwa mwezi pesa ambayo ni mitaji ya watu wengi sana wanaosema wao hawawezi kaajiriwaπŸ˜†πŸ˜†
3.huko kitaa we na nani ikibaki milioni 1 munaona hamuna kitu?,kua maisha rahisi hivyo?,wewe huyo na hawa watu wanaogombaniw daladala na mwendo Kasi Kila iitwayo leo?πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Basi sitakujibu tena, mana nimeshaona WEWE BADO SANA

hilo Neno nililoandika kwa herufi kubwa ukilizingatia litakusaidia sana
 
Basi sitakujibu tena, mana nimeshatoa WEWE BADO SANA

hilo Nemo nililoandika kwa herufi kubwa ukilozingatia litakusaidia sana
1.kwa nini hautanijibu?
2.Mimi bado sana kwenye nini?
3.Unadhani maisha ni rahisi hivyo,ukiona nchi Daktari analipwa hela ndogo ,jua Taaluma zingine watu wapo hoi sana,na wasio na taaluma maisha ndio magumu 800%,
 
Hahahaha wasio na taaluma? Sawa nimekuelewa tuishie hapa ila WEWE BADO SANA
1.we si ulisema hautanijubu tena wewe?πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
2.Unadhani maisha ni rahisi,ukiona wafanyabishara 100 jua wapo waliojaribu zaidi ya 10000 walifeli hio biashara
3.Iko wazi watu wasio na taaluma yeyote ile wana maisha magumu mno,unadhani hata hizo biashara zinafanywa na WAPUMBAVU?
4.Maisha sio raisi hivyo,kiasi ufeli masomo magumu ya PCB,ushindwe kujiunga na MD baasi tu uamini tayari umeshakua mfanyabiashara
 
🀣🀣🀣 Umeona sasa! Ndio mana nakwambia WEWE BADO SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…